Bahari ya Andamani : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Bay_of_Bengal_map.png|300px|thumb|Bahari ya Andamani kando la Ghuba ya Bengali]]
[[Picha:Bay_of_Bengal_map.png|300px|thumb|Bahari ya Andamani kando ya Ghuba ya Bengali.]]
'''Bahari ya Andamani''' (ing. ''Andaman Sea'') ni [[bahari ya pembeni]] ya [[Bahari Hindi]].
'''Bahari ya Andamani''' (kwa [[Kiingereza]]: ''Andaman Sea'') ni [[bahari ya pembeni]] ya [[Bahari Hindi]].
Iko kando ya [[Ghuba ya Bengali]].
Iko kando ya [[Ghuba ya Bengali]].


Mpaka nayo ni safu ya [[visiwa vya Andamani na Nikobari]] upande wa magharibi. Upande wa mashariki Bahari ya Andamani inapakana na nchi zifuatazo: [[Myanmar]] (au Burma), [[Uthai]] na [[Malaysia]]. Upande wa kusini kipi kisiwa cha [[Sumatra]] ([[Indonesia]]).
Mpaka nayo ni safu ya [[visiwa vya Andamani na Nikobari]] upande wa [[magharibi]]. Upande wa [[mashariki]] Bahari ya Andamani inapakana na nchi zifuatazo: [[Myanmar]] (au Burma), [[Uthai]] na [[Malaysia]]. Upande wa [[kusini]] kipo [[kisiwa]] cha [[Sumatra]] ([[Indonesia]]).

Eneo lake ni km<sup>2</sup> 797,000. Urefu kutoka kaskazini hadi kusini ni mnamo kilomita 1,200, upana wake hauzidi km 650. Kina cha wastani ni mita 870, lakini kimafikia hadi mita 4,180. Halijoto ya maji kwenye uso wa bahari hucheza baina ya sentigredi 27.5 hadi 30.


Eneo lake ni [[Km²|km<sup>2</sup>]] 797,000. [[Urefu]] kutoka [[kaskazini]] hadi kusini ni mnamo [[kilomita]] 1,200, [[upana]] wake hauzidi km 650. [[Kina]] cha [[wastani]] ni [[mita]] 870, lakini kinafikia hadi mita 4,180. [[Halijoto]] ya [[maji]] kwenye uso wa [[bahari]] hucheza baina ya [[sentigredi]] 27.5 hadi 30.


== Viungo vya Nje ==
== Viungo vya Nje ==
* [https://web.archive.org/web/20170305113754/http://marine.myanmarbiodiversity.org/ Myanmar Marine Biodiversity Atlas Online]
* [https://web.archive.org/web/20170305113754/http://marine.myanmarbiodiversity.org/ Myanmar Marine Biodiversity Atlas Online]
{{mbegu-jio-Asia}}

[[Jamii:Bahari Hindi]]
[[Jamii:Bahari ya Hindi]]

Pitio la 11:00, 19 Septemba 2019

Bahari ya Andamani kando ya Ghuba ya Bengali.

Bahari ya Andamani (kwa Kiingereza: Andaman Sea) ni bahari ya pembeni ya Bahari Hindi. Iko kando ya Ghuba ya Bengali.

Mpaka nayo ni safu ya visiwa vya Andamani na Nikobari upande wa magharibi. Upande wa mashariki Bahari ya Andamani inapakana na nchi zifuatazo: Myanmar (au Burma), Uthai na Malaysia. Upande wa kusini kipo kisiwa cha Sumatra (Indonesia).

Eneo lake ni km2 797,000. Urefu kutoka kaskazini hadi kusini ni mnamo kilomita 1,200, upana wake hauzidi km 650. Kina cha wastani ni mita 870, lakini kinafikia hadi mita 4,180. Halijoto ya maji kwenye uso wa bahari hucheza baina ya sentigredi 27.5 hadi 30.

Viungo vya Nje

Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Bahari ya Andamani kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.