Bahari ya Andamani : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Bay of Bengal map 1800s.png|300px|thumb|Bahari ya Andamani kando la Ghuba ya Bengali]]
[[Picha:Bay_of_Bengal_map.png|300px|thumb|Bahari ya Andamani kando la Ghuba ya Bengali]]
'''Bahari ya Andamani''' (ing. ''Andaman Sea'') ni [[bahari ya pembeni]] ya [[Bahari Hindi]].
'''Bahari ya Andamani''' (ing. ''Andaman Sea'') ni [[bahari ya pembeni]] ya [[Bahari Hindi]].
Iko kando ya [[Ghuba ya Bengali]].
Iko kando ya [[Ghuba ya Bengali]].

Pitio la 21:15, 18 Septemba 2019

Bahari ya Andamani kando la Ghuba ya Bengali

Bahari ya Andamani (ing. Andaman Sea) ni bahari ya pembeni ya Bahari Hindi. Iko kando ya Ghuba ya Bengali.

Mpaka nayo ni safu ya visiwa vya Andamani na Nikobari upande wa magharibi. Upande wa mashariki Bahari ya Andamani inapakana na nchi zifuatazo: Myanmar (au Burma), Uthai na Malaysia. Upande wa kusini kipi kisiwa cha Sumatra (Indonesia).

Eneo lake ni km2 797,000. Urefu kutoka kaskazini hadi kusini ni mnamo kilomita 1,200, upana wake hauzidi km 650. Kina cha wastani ni mita 870, lakini kimafikia hadi mita 4,180. Halijoto ya maji kwenye uso wa bahari hucheza baina ya sentigredi 27.5 hadi 30.


Viungo vya Nje