Atomu : Tofauti kati ya masahihisho
d
no edit summary
dNo edit summary |
|||
Mstari 12:
Kielelezo cha [[Ernest Rutherford]] kinasema kwamba katikati ya atomu kuna kiini chenye sehemu kubwa ya maada ya atomu yote. [[Kiini cha atomu]] hufanywa na protoni na neutroni. Atomu za elementi ileile zinaweza kutofautiana katika idadi ya neutron ndani ya kiini na hali hizi tofauti huitwa [[Isotopi]] za elementi. Isotopi tofauti ya elementi moja zinapangwa kwenye nafasi ileile ya [[jedwali la elementi]]. Isotopi kadhaa si thabiti lakini [nururifu] yaani zinaweza kutoa vyembe au nururisho na kuhamia elementi nyingine.
Kiini huzungukwa na ganda ambalo ni si dutu imara lakini nafasi ya njia ambako
Kiini huitwa kwa [[lugha]] ya [[Kilatini]] (pia kwa [[Kiingereza]]) "nucleus" na hapa lugha ya Kiswahili imepokea neno "nyuklia". "Nucleas" kwa ajili ya mambo yanayohusu matumizi ya nguvu ya atomu, kwa mfano [[nishati ya nyuklia]].
|