Orodha ya ziara za kichungaji za Papa Fransisko : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '{{Use dmy dates|date=May 2019}} thumb|300px|Ziara za Papa Fransisko Hii ni ‘’’orodha ya ziara ya kichungaji ya Papa Fr...'
 
No edit summary
Mstari 6: Mstari 6:
==2013==
==2013==
[[File:Pope Francis at Vargihna.jpg|thumb|Papa Francis atembelea [[favela]] Nchini [[Brazil]] [[Siku ya Vijana Duniani 2013]].]]
[[File:Pope Francis at Vargihna.jpg|thumb|Papa Francis atembelea [[favela]] Nchini [[Brazil]] [[Siku ya Vijana Duniani 2013]].]]
'''{{flag|Brazil}} (22 to 29 July 2013)'''
'''{{flag|Brazil}} (22 hadi 29 Julai 2013)'''
:{{main|Siku ya Vijana Duniani 2013}}
:{{main|Siku ya Vijana Duniani 2013}}
:Papa Fransisko alizuru [[Rio de Janeiro]], [[Brazil]], [[Siku ya Vijana Duniani 2013]].
:Papa Fransisko alizuru [[Rio de Janeiro]], [[Brazil]], [[Siku ya Vijana Duniani 2013]].

Pitio la 05:23, 10 Septemba 2019

Ziara za Papa Fransisko

Hii ni ‘’’orodha ya ziara ya kichungaji ya Papa Fransisko’’’.Ziara ya papa Francisko nchini Ufilipino ya januari 2015 ilionekana kuwa kubwa zaidi katika historia ya matukio ya papa,inakadiriwa kuwa na watu takribani milioni 6 – 7 waliohudhuria ibada ya Misa ya kuhitimisha ziara hiyo , katika Mji wa Manila. Idadi hiyo inasemekana kupita ile ya watu waliohudhuria katika kongamano la vijana duniani la mwaka 1995 lililofanyika katika eneo hilo.

Ziara za Kimataifa

2013

Papa Francis atembelea favela Nchini Brazil Siku ya Vijana Duniani 2013.

Bendera ya Brazil Brazil (22 hadi 29 Julai 2013)

Papa Fransisko alizuru Rio de Janeiro, Brazil, Siku ya Vijana Duniani 2013.

Ni ziara pekee nje ya nchi iliyokuwa katika ratiba yake kwa mwaka wa 2013.Francis alikaribishwa rasmi Brazil katika sherehe iliyofanyika katika kasri la Guanabara na kukutana na Rais Dilma Roussef.[1].Papa aliweza kuwakutanisha wahujaji wapatao tarkibani Milioni 3.5 kuadhimisha Ibada ya Misa Takatifu Copacabana Beach.[2]

  1. "Pilgrims meet Pope Francis in Brazil", RTÉ. Retrieved on 13 June 2014. 
  2. Fr. Lombardi: Brazil is the only scheduled foreign trip for Pope Francis in 2013. Vatican Radio (25 April 2013). Iliwekwa mnamo 27 April 2013.