Bartosz Kurek : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'right|frameless '''Bartosz Kamil Kurek''' (amezaliwa tarehe 29 Agosti 1988) ni mchezaji wa mpira wa wavu huko Poland.Ni...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 13:30, 8 Septemba 2019

Bartosz Kamil Kurek (amezaliwa tarehe 29 Agosti 1988) ni mchezaji wa mpira wa wavu huko Poland.Ni mwanachama wa timu ya taifa ya mpira wa wavu ya Poland na klabu ya mpira wa wavu ya Kipolishi, ONICO Warszawa.

Maisha binafsi

Bartosz Kurek alizaliwa huko Wałbrzych, lakini alikulia Nysa, Poland. Baba yake, Adam Kurek, alikuwa pia mchezaji wa mpira wa wavu. Kurek alicheza mpira wa kikapu katika ujana wake, lakini baadaye akaamua acheze mpira wa wavu.

Kurek anakaka yake mdogo, Jakub.

Viungo vya nje

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu: