Maada : Tofauti kati ya masahihisho
No edit summary Tags: blanking KihaririOneshi |
No edit summary |
||
Mstari 1: | Mstari 1: | ||
{{infobox |
|||
maada ni kitu chochote chenye uzito na kinachoweza kuchukua nafasi.maada imeudwa kwa chembechembe ndogo sana ziitwazo[atomi]. kwa kawaida maada inaweza kuwa katika hali kuu tatu ambazo ni yabisi,mango na gesi.maada huweza kubadilika pale tu joto linapo badilika.badiliko la maada linaweza kuwa kutoka gesi kwenda yabisi mfano mvuke kuwa barafu,yabisi kwenda gesi mfano barafu kuwa mvuke,kimiminika kuwa yabisi mfano maji kuwa barafu n.k |
|||
| title = Mata |
|||
Tangu karne ya 20 ufafanuzi sahihi wa maada umeshindikana kutokana na maendeleo ya sayansi,nayo si jambo tena la msingi katika fizikia kama ilivyokuwa awali |
|||
| data1 = [[File:Quartz oisan.jpg|200px]]<br/> [[File:Drop closeup.jpg|200px]]<br/> [[File:NO2-N2O4.jpg|200px]]<br/> [[File:Plasma-lamp 2.jpg|200px]] |
|||
hivyo matawi mbalimbali ya sayansi yanatumia neno mata kwa maana tofauti tofauti |
|||
| data2 = Mata kwa kawaida inaweza kupatikana katika hali nne. Picha zinazionyesha kutoka juu kwenda chini: [[kwazi]] ([[mango]]), [[maji]] ([[kiowevu]]), [[daioksidi ya nitrojeni]] ([[gesi]]), na [[tufe la plazma]] ([[Plazma (fizikia)|plazma]]). |
|||
}} |
|||
'''Mata''' (kutoka [[Kiingereza]] ''matter'': kwa [[Kiswahili]] pia "maada") ni [[neno]] pana linalojumlisha vyote vinavyoweza kuonekana, kusikika, kuguswa, kuchunguzwa n.k., ikiwemo hasa ''mata ya kawaida'' inayoundwa na [[atomi]] ambazo tena zinaundwa na [[kiini]] cha [[protoni]] na [[neutroni]], kikizungukwa na [[wingu]] la [[elektroni]].<ref name=Davies2> |
|||
{{cite book |
|||
|author=P. Davies |
|||
|date=1992 |
|||
|title=The New Physics: A Synthesis |
|||
|url=http://books.google.com/?id=akb2FpZSGnMC&pg=PA1 |
|||
|page=1 |
|||
|publisher=[[Cambridge University Press]] |
|||
|isbn=0-521-43831-4 |
|||
}}</ref><ref name=Hooft> |
|||
{{cite book |
|||
|author=G. 't Hooft |
|||
|date=1997 |
|||
|title=In search of the ultimate building blocks |
|||
|url=http://books.google.com/?id=e-7eAp-bVbEC&pg=PA6 |
|||
|page=6 |
|||
|publisher=[[Cambridge University Press]] |
|||
|isbn=0-521-57883-3 |
|||
}}</ref> |
|||
Hivyo maada ni [[kitu]] chochote chenye [[uzito]] na kinachoweza kuchukua nafasi. |
|||
Tangu [[karne ya 20]] [[ufafanuzi]] sahihi wa mata umeshindikana kutokana na maendeleo ya [[sayansi]], nayo si tena jambo la msingi katika [[fizikia]] kama ilivyokuwa awali.<ref name=Penrose> |
|||
{{cite book |
|||
|author= R. Penrose |
|||
|date=1991 |
|||
|chapter=The mass of the classical vacuum |
|||
|editors=S. Saunders, H.R. Brown |
|||
|title=The Philosophy of Vacuum |
|||
|url=http://books.google.com/?id=ZU1LL4IbDKcC&pg=PA21 |
|||
|page=21 |
|||
|publisher=[[Oxford University Press]] |
|||
|isbn=0-19-824449-5 |
|||
}}</ref><ref name=mcgrawhill> |
|||
{{cite web |
|||
|title=Matter (physics) |
|||
|url=http://www.accessscience.com/abstract.aspx?id=410600&referURL=http%3a%2f%2fwww.accessscience.com%2fcontent.aspx%3fid%3d410600 |
|||
|work=McGraw-Hill's Access Science: Encyclopedia of Science and Technology Online |
|||
|accessdate=2009-05-24 |
|||
}}</ref> |
|||
Mata inapatikana kwa kawaida katika [[hali za mata|hali]] nne: [[mango]], [[kiowevu]], [[gesi]] na [[Utegili (fizikia)|plasma]]. Maada huweza kubadilika pale tu [[halijoto]] inapobadilika. Badiliko la maada linaweza kuwa kutoka gesi kwenda yabisi mfano mvuke kuwa barafu, yabisi kwenda gesi mfano barafu kuwa mvuke, kimiminika kuwa yabisi mfano maji kuwa barafu n.k. |
|||
Hivyo matawi mbalimbali ya [[sayansi]] yanatumia neno mata kwa maana tofautitofauti.<ref name=Davies> |
|||
{{cite book |
|||
|author=P.C.W. Davies |
|||
|date=1979 |
|||
|title=The Forces of Nature |
|||
|url=http://books.google.com/?id=Av08AAAAIAAJ&pg=PA116&dq=%22matter+field%22 |
|||
|page=116 |
|||
|publisher=Cambridge University Press |
|||
|isbn=0-521-22523-X |
|||
}}</ref><ref name=Weinberg> |
|||
{{cite book |
|||
|author=S. Weinberg |
|||
|date=1998 |
|||
|title=The Quantum Theory of Fields |
|||
|url=http://books.google.com/?id=2oPZJJerMLsC&pg=PA5&dq=Weinberg+%22matter+field%22 |
|||
|page=2 |
|||
|publisher=Cambridge University Press |
|||
|isbn=0-521-55002-5 |
|||
}}</ref><ref name= Masujima> |
|||
{{cite book |
|||
|author=M. Masujima |
|||
|date=2008 |
|||
|title=Path Integral Quantization and Stochastic Quantization |
|||
|url=http://books.google.com/?id=OM15pk3ZHf0C&pg=PA103 |
|||
|page=103 |
|||
|publisher=Springer |
|||
|isbn=3-540-87850-5 |
|||
}}</ref> |
|||
[[Falsafa]] pia inatumia neno hilo, hasa kwa kutofautisha mata na [[roho]], na hivyo ulimwengu unaoonekana na ule ambao hauonekani, lakini unasadikika kuwepo. |
|||
==Tanbihi== |
|||
{{marejeo}} |
|||
== Marejeo == |
|||
*{{cite book |title=The Rise of the Standard Model |editor= Lillian Hoddeson |editor2=Michael Riordan |isbn=0-521-57816-7 |publisher=Cambridge University Press |date=1997 |url=http://books.google.com/?id=klLUs2XUmOkC&printsec=frontcover }} |
|||
*{{cite book |title=Hidden Worlds |chapter=The search for quarks in ordinary matter |author=Timothy Paul Smith |page=1 |url=http://books.google.com/?id=Pc1A0qJio88C&pg=PA1 |isbn=0-691-05773-7 |date=2004 |publisher=Princeton University Press}} |
|||
*{{cite book |title=Elementary Particles: Building blocks of matter |isbn=981-256-141-2 |date=2005 |publisher=World Scientific |author=Harald Fritzsch |url=http://books.google.com/?id=KFodZ8oHz2sC&pg=PA1 |page=1}} |
|||
*{{cite book |title=A Critical Exposition of the Philosophy of Leibniz |author= Bertrand Russell |url=http://books.google.com/?id=R7GauFXXedwC&pg=PA88 |page=88 |chapter=The philosophy of matter |isbn=0-415-08296-X |date=1992 |edition=Reprint of 1937 2nd |publisher=Routledge}} |
|||
* Stephen Toulmin and June Goodfield, ''The Architecture of Matter'' (Chicago: University of Chicago Press, 1962). |
|||
* Richard J. Connell, ''Matter and Becoming'' (Chicago: The Priory Press, 1966). |
|||
* [[Ernan McMullin]], ''The Concept of Matter in Greek and Medieval Philosophy'' (Notre Dame, Indiana: Univ. of Notre Dame Press, 1965). |
|||
* [[Ernan McMullin]], ''The Concept of Matter in Modern Philosophy'' (Notre Dame, Indiana: University of Notre Dame Press, 1978). |
|||
== Viungo vya nje == |
|||
{{commons category}} |
|||
* [http://www.visionlearning.com/library/module_viewer.php?mid=49&l=&c3= Visionlearning Module on Matter] |
|||
* [http://www.newuniverse.co.uk/Matter.html Matter in the universe] How much Matter is in the Universe? |
|||
* [http://imagine.gsfc.nasa.gov/docs/ask_astro/answers/970213.html NASA on superfluid core of neutron star] |
|||
* [http://profmattstrassler.com/articles-and-posts/particle-physics-basics/mass-energy-matter-etc/matter-and-energy-a-false-dichotomy/ Matter and Energy: A False Dichotomy] – Conversations About Science with Theoretical Physicist Matt Strassler |
|||
{{mbegu-sayansi}} |
|||
[[Jamii:Fizikia]] |
|||
[[Jamii:Falsafa]] |
Pitio la 13:27, 8 Septemba 2019
Mata kwa kawaida inaweza kupatikana katika hali nne. Picha zinazionyesha kutoka juu kwenda chini: kwazi (mango), maji (kiowevu), daioksidi ya nitrojeni (gesi), na tufe la plazma (plazma). |
Mata (kutoka Kiingereza matter: kwa Kiswahili pia "maada") ni neno pana linalojumlisha vyote vinavyoweza kuonekana, kusikika, kuguswa, kuchunguzwa n.k., ikiwemo hasa mata ya kawaida inayoundwa na atomi ambazo tena zinaundwa na kiini cha protoni na neutroni, kikizungukwa na wingu la elektroni.[1][2] Hivyo maada ni kitu chochote chenye uzito na kinachoweza kuchukua nafasi.
Tangu karne ya 20 ufafanuzi sahihi wa mata umeshindikana kutokana na maendeleo ya sayansi, nayo si tena jambo la msingi katika fizikia kama ilivyokuwa awali.[3][4]
Mata inapatikana kwa kawaida katika hali nne: mango, kiowevu, gesi na plasma. Maada huweza kubadilika pale tu halijoto inapobadilika. Badiliko la maada linaweza kuwa kutoka gesi kwenda yabisi mfano mvuke kuwa barafu, yabisi kwenda gesi mfano barafu kuwa mvuke, kimiminika kuwa yabisi mfano maji kuwa barafu n.k.
Hivyo matawi mbalimbali ya sayansi yanatumia neno mata kwa maana tofautitofauti.[5][6][7]
Falsafa pia inatumia neno hilo, hasa kwa kutofautisha mata na roho, na hivyo ulimwengu unaoonekana na ule ambao hauonekani, lakini unasadikika kuwepo.
Tanbihi
- ↑ P. Davies (1992). The New Physics: A Synthesis. Cambridge University Press. uk. 1. ISBN 0-521-43831-4.
- ↑ G. 't Hooft (1997). In search of the ultimate building blocks. Cambridge University Press. uk. 6. ISBN 0-521-57883-3.
- ↑ R. Penrose (1991). "The mass of the classical vacuum". Katika S. Saunders, H.R. Brown. The Philosophy of Vacuum. Oxford University Press. uk. 21. ISBN 0-19-824449-5.
- ↑ "Matter (physics)". McGraw-Hill's Access Science: Encyclopedia of Science and Technology Online. Iliwekwa mnamo 2009-05-24.
- ↑ P.C.W. Davies (1979). The Forces of Nature. Cambridge University Press. uk. 116. ISBN 0-521-22523-X.
- ↑ S. Weinberg (1998). The Quantum Theory of Fields. Cambridge University Press. uk. 2. ISBN 0-521-55002-5.
- ↑ M. Masujima (2008). Path Integral Quantization and Stochastic Quantization. Springer. uk. 103. ISBN 3-540-87850-5.
Marejeo
- Lillian Hoddeson; Michael Riordan, wahariri (1997). The Rise of the Standard Model. Cambridge University Press. ISBN 0-521-57816-7.
- Timothy Paul Smith (2004). "The search for quarks in ordinary matter". Hidden Worlds. Princeton University Press. uk. 1. ISBN 0-691-05773-7.
- Harald Fritzsch (2005). Elementary Particles: Building blocks of matter. World Scientific. uk. 1. ISBN 981-256-141-2.
- Bertrand Russell (1992). "The philosophy of matter". A Critical Exposition of the Philosophy of Leibniz (toleo la Reprint of 1937 2nd). Routledge. uk. 88. ISBN 0-415-08296-X.
- Stephen Toulmin and June Goodfield, The Architecture of Matter (Chicago: University of Chicago Press, 1962).
- Richard J. Connell, Matter and Becoming (Chicago: The Priory Press, 1966).
- Ernan McMullin, The Concept of Matter in Greek and Medieval Philosophy (Notre Dame, Indiana: Univ. of Notre Dame Press, 1965).
- Ernan McMullin, The Concept of Matter in Modern Philosophy (Notre Dame, Indiana: University of Notre Dame Press, 1978).
Viungo vya nje
- Visionlearning Module on Matter
- Matter in the universe How much Matter is in the Universe?
- NASA on superfluid core of neutron star
- Matter and Energy: A False Dichotomy – Conversations About Science with Theoretical Physicist Matt Strassler
Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Maada kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |