Oscar Wilde : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Oscar Fingal O'Flahertie Wills Wilde''' (Oktoba 16,1854Novemba 30,1900) alikua Mshairi wa Ireland na pia alikua ni [[mwandishi]...'
 
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
'''Oscar Fingal O'Flahertie Wills Wilde''' ([[Oktoba 16]],[[1854]] – [[Novemba 30]],[[1900]]) alikua [[Mshairi]] wa [[Ireland]] na pia alikua ni [[mwandishi]] wa [[maigizo]] ya [[vitabu]]. Baada ya kuandika sana katika miaka ya 1880s alikua miongoni mwa waandishi maarufu sana [[Jiji|jijini]] [[London]] katika miaka ya 1890s. Amekua akikumbukwa sana kutokana na kuandika maigizo mengi pamoja na kuwa na misemo mizuri. pia anakumbukwa sana kutokana na kazi yake iliyojulikana kama ''The Picture of Dorian Gray''.
'''Oscar Fingal O'Flahertie Wills Wilde''' ([[Oktoba 16]], [[1854]] – [[Novemba 30]], [[1900]]) alikuwa [[mshairi]] wa [[Ireland]] na pia [[mwandishi]] wa [[maigizo]] ya [[vitabu]].


Baada ya kuandika sana katika [[miaka ya 1880]] alikuwa miongoni mwa waandishi maarufu sana [[Jiji|jijini]] [[London]] katika [[miaka ya 1890]].
<br />

Amekuwa akikumbukwa sana kutokana na kuandika maigizo mengi pamoja na kuwa na misemo mizuri. Pia anakumbukwa sana kutokana na kazi yake iliyojulikana kama ''The Picture of Dorian Gray''.

{{mbegu-mwandishi}}
{{BD|1854|1900}}
[[Jamii:Waandishi wa Ireland]]

Pitio la 13:06, 8 Septemba 2019

Oscar Fingal O'Flahertie Wills Wilde (Oktoba 16, 1854Novemba 30, 1900) alikuwa mshairi wa Ireland na pia mwandishi wa maigizo ya vitabu.

Baada ya kuandika sana katika miaka ya 1880 alikuwa miongoni mwa waandishi maarufu sana jijini London katika miaka ya 1890.

Amekuwa akikumbukwa sana kutokana na kuandika maigizo mengi pamoja na kuwa na misemo mizuri. Pia anakumbukwa sana kutokana na kazi yake iliyojulikana kama The Picture of Dorian Gray.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Oscar Wilde kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.