Oscar Wilde : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Oscar Fingal O'Flahertie Wills Wilde''' (Oktoba 16,1854Novemba 30,1900) alikua Mshairi wa Ireland na pia alikua ni [[mwandishi]...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 12:50, 8 Septemba 2019

Oscar Fingal O'Flahertie Wills Wilde (Oktoba 16,1854Novemba 30,1900) alikua Mshairi wa Ireland na pia alikua ni mwandishi wa maigizo ya vitabu. Baada ya kuandika sana katika miaka ya 1880s alikua miongoni mwa waandishi maarufu sana jijini London katika miaka ya 1890s. Amekua akikumbukwa sana kutokana na kuandika maigizo mengi pamoja na kuwa na misemo mizuri. pia anakumbukwa sana kutokana na kazi yake iliyojulikana kama The Picture of Dorian Gray.