Maada : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 72: Mstari 72:
|publisher=Springer
|publisher=Springer
|isbn=3-540-87850-5
|isbn=3-540-87850-5
}}</ref>[[Falsafa]] pia inatumia neno hilo, hasa kwa kutofautisha mata na [[roho]], na hivyo ulimwengu [[unaoonekana]] na ule ambao hauonekani, lakini unasadikika kuwepo.
}}</ref>[[Falsafa]] pia inatumia neno hilo, hasa kwa kutofautisha mata na [[roho]], na hivyo ulimwengu unaoonekana na ule ambao hauonekani, lakini unasadikika kuwepo.


==Tanbihi==
==Tanbihi==

Pitio la 12:38, 8 Septemba 2019

Mata



Mata kwa kawaida inaweza kupatikana katika hali nne. Picha zinazionyesha kutoka juu kwenda chini: kwazi (mango), maji (kiowevu), daioksidi ya nitrojeni (gesi), na tufe la plazma (plazma).

Mata (kutoka Kiingereza matter: kwa Kiswahili pia "maada") ni neno pana linalojumlisha vyote vinavyoweza kuonekana, kusikika, kuguswa, kuchunguzwa n.k., ikiwemo hasa mata ya kawaida inayoundwa na atomi ambazo tena zinaundwa na kiini cha protoni na neutroni, kikizungukwa na wingu la elektroni.[1][2]

Tangu karne ya 20 ufafanuzi sahihi wa mata umeshindikana kutokana na maendeleo ya sayansi, nayo si tena jambo la msingi katika fizikia kama ilivyokuwa awali.[3][4]

Mata inapatikana kwa kawaida katika hali nne: mango, kiowevu, gesi na plazma.

Hivyo matawi mbalimbali ya sayansi yanatumia neno mata kwa maana tofautitofauti.[5][6][7]Falsafa pia inatumia neno hilo, hasa kwa kutofautisha mata na roho, na hivyo ulimwengu unaoonekana na ule ambao hauonekani, lakini unasadikika kuwepo.

Tanbihi

  1. P. Davies (1992). The New Physics: A Synthesis. Cambridge University Press. p. 1. ISBN 0-521-43831-4. 
  2. G. 't Hooft (1997). In search of the ultimate building blocks. Cambridge University Press. p. 6. ISBN 0-521-57883-3. 
  3. R. Penrose (1991). "The mass of the classical vacuum". In S. Saunders, H.R. Brown. The Philosophy of Vacuum. Oxford University Press. p. 21. ISBN 0-19-824449-5. 
  4. Matter (physics). McGraw-Hill's Access Science: Encyclopedia of Science and Technology Online. Iliwekwa mnamo 2009-05-24.
  5. P.C.W. Davies (1979). The Forces of Nature. Cambridge University Press. p. 116. ISBN 0-521-22523-X. 
  6. S. Weinberg (1998). The Quantum Theory of Fields. Cambridge University Press. p. 2. ISBN 0-521-55002-5. 
  7. M. Masujima (2008). Path Integral Quantization and Stochastic Quantization. Springer. p. 103. ISBN 3-540-87850-5. 

Marejeo

Viungo vya nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Maada kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.