Gujarat : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
+Ahmedabad
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Gujarat in India (disputed hatched).svg|thumb|right|250px|Gujarat kwenye ramani ya India]]
[[Picha:Gujarat in India (disputed hatched).svg|thumb|right|250px|Gujarat kwenye [[ramani]] ya India.]]
[[Picha:Gujarat map with Gir Nat Park-de.svg|thumb|250px|Ramani ya Gujarat]]
[[Picha:Gujarat map with Gir Nat Park-de.svg|thumb|250px|Ramani ya Gujarat.]]
[[Picha:Gujarat locator map.svg|thumb|right|250px|Ramani ya Gujarat]]
[[Picha:Gujarat locator map.svg|thumb|right|250px|Ramani ya Gujarat.]]
'''Gujarat''' ni [[jimbo]] la kujitawala ndani ya [[shirikisho]] la [[Uhindi]]. Mji mkuu ni [[Gandhinagar]] ambayo ni mji mpya uliopewa jina lake kwa kwa heshima ya [[Mahatma Gandhi]] aliyezaliwa Gujarat. Mji mkubwa ni [[Ahmedabad]].
'''Gujarat''' ni [[jimbo]] la kujitawala ndani ya [[shirikisho]] la [[Uhindi]].


[[Mji mkuu]] ni [[Gandhinagar]] ambao ni [[mji]] mpya uliopewa [[jina]] hilo kwa [[heshima]] ya [[Mahatma Gandhi]] aliyezaliwa [[Porbandar]], jimboni Gujarat. Mji mkubwa ni [[Ahmedabad]].
Gujarat ina eneo la 196,024 [[km²]] zinazokaliwa na wakazi milioni 50. Lugha rasmi ni [[Kigujarati]] inayotumiwa na asilimia 80 za wakazi. Watu wengi ni Wahindu (89%), kuna pia Waislamu (9%) na Wajain (1%).

Gujarat ina eneo la [[km²]] 196,024 zinazokaliwa na [[watu]] [[milioni]] 50.

[[Lugha rasmi]] ni [[Kigujarati]] inayotumiwa na [[asilimia]] 80 za wakazi.

Wengi wao ni [[Wahindu]] (89[[%]]), kuna pia [[Waislamu]] (9%) na [[Wajain]] (1%).


== Viungo vya nje ==
== Viungo vya nje ==
{{Commons}}
* {{en}} [http://www.gujaratindia.com/ Tovuti rasmi]
* {{en}} [http://www.gujaratindia.com/ Tovuti rasmi]


{{Commons}}
{{India}}
{{India}}
{{Mbegu-jio-Uhindi}}
{{Mbegu-jio-Uhindi}}

Pitio la 11:17, 5 Septemba 2019

Gujarat kwenye ramani ya India.
Ramani ya Gujarat.
Ramani ya Gujarat.

Gujarat ni jimbo la kujitawala ndani ya shirikisho la Uhindi.

Mji mkuu ni Gandhinagar ambao ni mji mpya uliopewa jina hilo kwa heshima ya Mahatma Gandhi aliyezaliwa Porbandar, jimboni Gujarat. Mji mkubwa ni Ahmedabad.

Gujarat ina eneo la km² 196,024 zinazokaliwa na watu milioni 50.

Lugha rasmi ni Kigujarati inayotumiwa na asilimia 80 za wakazi.

Wengi wao ni Wahindu (89%), kuna pia Waislamu (9%) na Wajain (1%).

Viungo vya nje

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Uhindi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Gujarat kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.