Mtumiaji:Tomson G Wiston : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Photograph of Tomson.jpg|thumb|Tomson alipo jiunga na wikipedia mwaka 2017]]
[[Picha:Photograph of Tomson.jpg|thumb|Tomson alipo jiunga na wikipedia mwaka 2016]]


== <u>'''UTAMBULISHO'''</u> ==
== <u>'''UTAMBULISHO'''</u> ==

Pitio la 13:44, 30 Agosti 2019

Tomson alipo jiunga na wikipedia mwaka 2016

UTAMBULISHO

Alizaliwa tar.22 mwezi.7 mwaka .2001 katika mkoa wa Kigoma. Mwaka 2007 wazazi wake walihamia katika Jiji la Dar es salaam ambapo mwaka 2009 alianza darasa la kwanza katika shule ya msingi ya mabwepande na mwaka 2015 alihitimu darasa la saba katika shule hiyo.Mwaka 2016 alianza kidato cha kwanza katika shule ya sekondari ya Alfagems, na mwaka 2019 ni mwanafunzi wa kidato cha nne .Pia ni mwandishi na mhariri katika wikipedia.

Mbu anayeeneza ugonjwa wa malaria

MALARIA

Malaria ni ugonjwa unaosababishwa na mbu aina ya anofelensi.Ugonjwa huu unaweza kumsababishia

mtu homa kali na pia unaweza kumsababishia kifo.Ugonjwa huu hutibiwa kwa dawa maalumu zijulikanazo

kwa jina la mseto.Pia katika utumiaji wa dawa hizi ni lazima utumie na dawa za maumivu zijulikanazo kwa jina la panadol au paracetamol.

shati ninayoipenda

KAMUSI

Kamusi ni kitabu cha marejeo kinachomwelewesha mtumiaji kuhusu maana za misamiati mbalimbali,

maelezo yake na jinsi ya kutamka maneno hayo.Kuna aina tatu(3) za kamusi:

(i)Kamusi wahidiya

(ii)Kamusi thania

(iii)Kamusi mahuruti

Kwa lugha ya kiingereza kamusi inajulikana kama [[dictionary]

VITA VYA MAJIMAJI

Vita vya majimaji vilipiganwa mnamo mwaka 1905-1907.Kiongozi wa vita hivi kwa

watu wa Tanzania alikuwa ni Kinjeketile Ngwale.Vita hii ilikuwa ni upingaji mkali

dhidi ya utawala wa koloni la Ujerumani.Vita hivyo vilishirikisha baadhi ya makabila

ya wanyamwezi.