Mashahidi wa Yehova : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Tags: Mobile edit Mobile web edit
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Mstari 9: Mstari 9:
Kwa sasa wako [[milioni]] 8.3 katika [[jumuia]] 119,485 (kadiri ya ''Kitabu cha Mwaka 2017 cha Mashahidi wa Yehova''<ref>2017 Yearbook of Jehovah's Witnesses. Watchtower Bible and Tract Society. 2016. pp. 185–186.</ref>). Ongezeko ni la [[asilimia]] 1.8 kwa mwaka.<ref>2017 Yearbook of Jehovah's Witnesses. Watchtower Bible and Tract Society. 2016. pp. 185–186.</ref>

Kwa sababu hizo katika nchi mbalimbali dini hiyo iliwahi kukatazwa, kama nchini [[Tanzania]] wakati wa [[urais]] wa [[Julius Nyerere]] au bado ni marufuku.
Kwa sababu hizo katika nchi mbalimbali dini hiyo iliwahi kukatazwa, kama nchini Urusi na korea kaskazini au bado ni marufuku.

== Hoja dhidi yao ==
== Hoja dhidi yao ==
Wengi wamelaumu Mashahidi wa Yehova hasa kutokana na jinsi walivyotafsiri na wanavyofafanua Biblia, mafundisho yao, [[katazo]] la [[utoaji damu]], kutokubali [[matibabu]] yanayohusisha [[damu]], mara kadhaa za [[utabiri]] wao kutotimia hasa kuhusu mambo ya mwisho, pamoja na jinsi waumini wanavyofuatiliwa na kushinikizwa na viongozi wao.

Pitio la 02:11, 24 Agosti 2019

Makao makuu ya kimataifa huko Brooklyn, New York, Marekani.

Mashahidi wa Yehova (kwa Kiingereza Jehovah's Witnesses) ni wafuasi wa dini jamii ya Ukristo ambayo ilianzia Marekani na kuenea ulimwenguni kote.

Tofauti na Wakristo karibu wote, hao hawamuamini Yesu kuwa Mungu sawa na Baba, wala Roho Mtakatifu kuwa nafsi, na kwa jumla hawakubali imani katika Utatu wa nafsi katika Mungu pekee. Kwa sababu hiyo madhehebu mengi hayawatambui kama Wakristo wala hayakubali ubatizo wao.

Mwanzilishi alikuwa Charles Taze Russell pamoja na kikundi cha wanafunzi wa Biblia (miaka ya 1870). Jina la sasa lilianza kutumika mwaka 1931.

Kwa sasa wako milioni 8.3 katika jumuia 119,485 (kadiri ya Kitabu cha Mwaka 2017 cha Mashahidi wa Yehova[1]). Ongezeko ni la asilimia 1.8 kwa mwaka.[2]

Kwa sababu hizo katika nchi mbalimbali dini hiyo iliwahi kukatazwa, kama nchini Urusi na korea kaskazini au bado ni marufuku.

Hoja dhidi yao

Wengi wamelaumu Mashahidi wa Yehova hasa kutokana na jinsi walivyotafsiri na wanavyofafanua Biblia, mafundisho yao, katazo la utoaji damu, kutokubali matibabu yanayohusisha damu, mara kadhaa za utabiri wao kutotimia hasa kuhusu mambo ya mwisho, pamoja na jinsi waumini wanavyofuatiliwa na kushinikizwa na viongozi wao.

Kwa sababu hizo na kwa kutokubali kwa sababu ya dhamiri kujiunga na jeshi, kusalimu bendera za taifa au kuimba nyimbo za Taifa , pamoja na msimamo wao wa kutounga mkono upande wowote katika siasa, katika nchi mbalimbali dini hiyo iliwahi kukatazwa, au bado ni marufuku kama vile huko Kazakstan, Eritrea na sasa Urusi.

Wenyewe wamekataa daima lawama hizo, lakini kila mwaka wengi wanajitenga nao.

Tanbihi

  1. 2017 Yearbook of Jehovah's Witnesses. Watchtower Bible and Tract Society. 2016. pp. 185–186.
  2. 2017 Yearbook of Jehovah's Witnesses. Watchtower Bible and Tract Society. 2016. pp. 185–186.

Marejeo

Viungo vya nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu:

Tovuti rasmi

Tovuti nyingine

Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hii kama historia yake au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.