Usafiri : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Shinkansen 500 Kyoto 2005-03-19.jpg|thumb|right|Treni ya Shinkansen nchini [[Japani]]]]
[[Picha:Shinkansen 500 Kyoto 2005-03-19.jpg|thumb|right|Treni ya Shinkansen nchini [[Japani]]]]
[[Picha:DarEsSalaam-Skyline.jpg|thumb|right|Feri kwenye bandari ya [[Dar es Salaam]]]]
[[Picha:Pia.b747-300.ap-bfx.may06.arp.jpg|thumb|right|Ndege ya [[Boeing 747-300]]]]
[[Picha:Pia.b747-300.ap-bfx.may06.arp.jpg|thumb|right|Ndege ya [[Boeing 747-300]]]]
[[Picha:Ship_dar.JPG|thumb|right|Feri kwenye bandari ya [[Dar es Salaam]]]]

==Kivukoni==


==Kivukoni==
==Kivukoni==

Pitio la 13:17, 15 Agosti 2019

Treni ya Shinkansen nchini Japani
Ndege ya Boeing 747-300
Feri kwenye bandari ya Dar es Salaam

Kivukoni

Kivukoni

Usafiri ni uhamisho wa watu au vitu na bidhaa kutoka mahali pamoja kwenda mahali pengine.

Usafiri unakuja pamoja na muundombinu kama njia za usafiri, vyombo vya usafiri na wahusika wake kama makampuni, shirika na abiria.

Njia za usafiri

Njia za usafiri hutofautishwa kufuatana na aina yake kama ni:

Vyombo vya usafiri

Vyombo vya usafiri hulingana na njia zinazotumia.

Usafiri wa nchini hutumia motokaa, treni, baisikeli au pikipiki.

Usafiri wa majini hutumia meli, boti, jahazi na mengine

Usafiri wa hewani hutumia ndege, helikopta au ndegeputo

Faida ya usafiri

  • Husaidia katika kufikisha haraka vyakula au matunda yanayooza mapema.
  • Husaidia kufikisha haraka habari zilizo kwenye majarida n.k.
  • Huwezesha mahusiano kati ya nchi na nchi.
  • Husaidia biashara za masafa marefu kuendelea.
  • Pia husaidia katika maendeleo ya nchi (kimapato)