Misioni ya Paris : Tofauti kati ya masahihisho
No edit summary |
d Kipala alihamisha ukurasa wa M.E.P. hadi Misioni ya Paris: jina halisi |
(Hakuna tofauti)
|
Pitio la 22:30, 11 Agosti 2019
Misioni ya Paris ni jumuiya ya wamisionari Wakatoliki kwa ajili ya misheni katika nchi za Asia (kwa Kifaransa: Missions Etrangères de Paris kifupi M.E.P., lat. Societas Parisiensis missionum ad exteras gentes).
Katika utaratibu wa kanisa katoliki ni shirika la maisha ya kitume lenye hadhi ya Kipapa na liko chini ya Idara ya Uinjilishaji wa Mataifa.
Lilianzishwa mwaka 1658 likafanya kazi hasa Asia Mashariki, na hadi sasa ndiko liliko na wamisionari wengi, mbali ya Ufaransa na Madagaska. Duniani kote ni 198, kati yao mapadri 184.
Tanbihi
Marejeo
- Mantienne, Frédéric (1999) Monseigneur Pigneau de Béhaine (Eglises d'Asie, Série Histoire, ISSN 1275-6865) ISBN 2-914402-20-1
- Missions étrangères de Paris. 350 ans au service du Christ 2008 Editeurs Malesherbes Publications, Paris ISBN 978-2-916828-10-7
- Les Missions Etrangères. Trois siècles et demi d'histoire et d'aventure en Asie Editions Perrin, 2008, ISBN 978-2-262-02571-7
- Adrien Launay (1898) Histoire des missions de l'Inde, 5 vols.
Viungo vya nje
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
- Official Website (Kifaransa)
Makala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Misioni ya Paris kama historia yake au maelezo zaidi? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |