Umande : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[File:Dew drop.jpg|thumb|Tone la umande juu ya [[jani]] la [[mchikichi]].]]
[[File:Dew drop.jpg|thumb|Tone la umande juu ya [[jani]] la [[mchikichi]].]]
[[File:Dew Drops.JPG|thumb|Matone ya umande juu ya jani.]]
[[File:Dew Drops.JPG|thumb|Matone ya umande juu ya jani.]]
'''Umande''' (pia: '''unyevu''', '''ukungu'''; kwa [[Kiingereza]]: ''dew'') ni [[maji]] yaliyo katika mfumo wa vijitone vionekanavyo juu ya [[Kitu|vitu]], hasa [[mimea]], wakati wa [[asubuhi]] kutokana na [[utoneshaji]] na [[baridi]].Wakati joto ni la chini vya kutosha umande huchukua umbo la barafu liitwalo theluji.Kwa kuwa umande unategemeana na halijoto ya nyuso za vitu,mwishoni mwa msimu wa joto, umande hujitokeza kwa urahisi kwenye nyuso ambazo hazijatiwa joto na joto litokalo chini ardhini kama vile nyasi,majani,mataruma ya reli, paa za magari na madaraja.
'''Umande''' (pia: '''unyevu''', '''ukungu'''; kwa [[Kiingereza]]: ''dew'') ni [[maji]] yaliyo katika mfumo wa vijitone vionekanavyo juu ya [[Kitu|vitu]], hasa [[mimea]], wakati wa [[asubuhi]] kutokana na [[utoneshaji]] na [[baridi]].
Wakati joto ni la chini vya kutosha umande huchukua umbo la [[barafu]] liitwalo theluji. Kwa kuwa umande unategemeana na halijoto ya nyuso za vitu, mwishoni mwa msimu wa joto, umande hujitokeza kwa urahisi kwenye nyuso ambazo hazijatiwa joto na joto litokalo chini ardhini kama vile nyasi,majani,mataruma ya reli, paa za magari na madaraja.
[[File:Dense_dew_on_grass.jpg|thumb|Umande mzito kwenye nyasi.]]
[[File:Dense_dew_on_grass.jpg|thumb|Umande mzito kwenye nyasi.]]
{{mbegu-sayansi}}
{{mbegu-sayansi}}

Pitio la 06:57, 5 Agosti 2019

Tone la umande juu ya jani la mchikichi.
Matone ya umande juu ya jani.

Umande (pia: unyevu, ukungu; kwa Kiingereza: dew) ni maji yaliyo katika mfumo wa vijitone vionekanavyo juu ya vitu, hasa mimea, wakati wa asubuhi kutokana na utoneshaji na baridi.

Wakati joto ni la chini vya kutosha umande huchukua umbo la barafu liitwalo theluji. Kwa kuwa umande unategemeana na halijoto ya nyuso za vitu, mwishoni mwa msimu wa joto, umande hujitokeza kwa urahisi kwenye nyuso ambazo hazijatiwa joto na joto litokalo chini ardhini kama vile nyasi,majani,mataruma ya reli, paa za magari na madaraja.

Umande mzito kwenye nyasi.
Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Umande kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.