Wikipedia:Makala za msingi za kamusi elezo : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Mstari 18: Mstari 18:


=Orodha ya mada ambazo zinakosekana kwa Kiswahili kulingana na orodha ya makala 1000 za msingi=
=Orodha ya mada ambazo zinakosekana kwa Kiswahili kulingana na orodha ya makala 1000 za msingi=
''<small>(hali ya Aprili 2019) - upande wa kushoto (buluu) unaonyesha makala za Kiingereza, upande wa kulia (nyekundu) ni viungo kwa Wikipedia ya Kiswahili ambako makala hizo haziko bado (isipokuwa zile zilizoandikwa tangu kutunga orodha hii)</small>''<br>
''<small>(hali mnamo Agosti 2019) - upande wa kushoto (buluu) unaonyesha makala za Kiingereza, upande wa kulia (nyekundu) ni viungo vya Wikipedia ya Kiswahili ambavyo makala hizo haziko bado (isipokuwa zile zilizoandikwa baadaye)</small>''<br>


'''OMBI: Tusiweke makala ya elekezo (redirect) kama tafsiri kwa maneno ya Kiingereza upande wa kulia! Maana kwa njia hii tunaweza kujidanganya kuwa makala iko tayari (kiungo kuwa buluu) ilhali hakuna makala bado!'''
'''OMBI: Tusiweke kiungo cha elekezo (redirect) kama tafsiri kwa maneno ya Kiingereza upande wa kulia! Maana kwa njia hii tunaweza kujidanganya kuwa makala iko tayari (kiungo kuwa buluu) ilhali hakuna makala bado!'''


#[http://en.wikipedia.org/wiki/capacitor capacitor] - sw: [[kapasita]]
#[http://en.wikipedia.org/wiki/capacitor capacitor] - sw: [[kapasita]]

Pitio la 07:14, 4 Agosti 2019

Kuna Kamusi Elezo za Wiki za lugha mbalimbali. Baadhi ni kubwa na nyingine bado ni ndogo: ziko mbioni kuendelezwa. Kamusi elezo zote zinahitaji makala fulani za msingi.

Kwenye kurasa za meta.wikipedia.org kuna majadiliano mfululizo kuhusu makala za kimsingi ni zipi. Tokeo la majadiliano ni orodha ya Kiingereza ya makala ya msingi kutoka meta:wikipedia inayoendelea kuhaririwa.

Hapo chini ni mada katika Wikipedia ya Kiingereza (ambayo ni Wikipedia kubwa zaidi na hivyo ni ya msingi kwa kazi hii) ambazo hazikuonekana katika wikipedia ya Kiswahili kwa "macho" za roboti zinazolinganisha Wikipedia za lugha mbalimbali. Chanzo chake ni Makala zisizoonekana kati ya 1000 za msingi - Absent_Articles#sw_Kiswahili.

Kila mwanawikipedia anaombwa

    • kuanzisha makala kwa Kiswahili au kuitafsiri. Kubofya jina jekundu upande wa kulia kutaanzisha makala mpya kwa Kiswahili. Kama ni jina la Kiingereza bado, ulitafsiri kabla ya kuanza.
    • Kuboresha michango katika orodha ya "makala 1000" kwa kuiongeza matini maana nyingine bado ni fupi sana

Tahadhari: wakati mwingine roboti zinazolinganisha Wikipedia mbalimbali zinaweza kukosea. Kwa mfano hazikutambua makala ya "Brussels" katika Wikipedia yetu na kuiandika katika orodha hii - lakini makala ipo. Yeyote anayetambua kosa la aina hii anaweza kuisahihisha kwa kuingiza kwa mkono makala husika ya Wikipedia ya Kiswahili.

Kwa orodha kamili ya makala zote 1000 tazama hapa: Wikipedia:Makala za msingi za kamusi elezo/Zote 1000.

Baada ya kumaliza kuna pia orodha iliyopanuliwa ya makala 10,000 Meta:List of articles every Wikipedia should have/Expanded

Orodha ya mada ambazo zinakosekana kwa Kiswahili kulingana na orodha ya makala 1000 za msingi

(hali mnamo Agosti 2019) - upande wa kushoto (buluu) unaonyesha makala za Kiingereza, upande wa kulia (nyekundu) ni viungo vya Wikipedia ya Kiswahili ambavyo makala hizo haziko bado (isipokuwa zile zilizoandikwa baadaye)

OMBI: Tusiweke kiungo cha elekezo (redirect) kama tafsiri kwa maneno ya Kiingereza upande wa kulia! Maana kwa njia hii tunaweza kujidanganya kuwa makala iko tayari (kiungo kuwa buluu) ilhali hakuna makala bado!

  1. capacitor - sw: kapasita
  2. classical mechanics - sw: umakanika kawaida
  3. conservation of energy - sw: kanuni ya hifadhi ya nishati
  4. differential equation - sw: mlinganyo tenguo
  5. (mathematics) function - sw: namba tegemezi
  6. general relativity - sw: uhusianifu majumui
  7. inductor - sw: kidukizi
  8. infinity - sw: msopeo? - bila kikomo ?
  9. mathematical analysis - sw: uchambuzi wa kihisabati
  10. mathematical proof - sw: thibitisho la kihisabati
  11. numerical analysis - sw: uchambuzi namba
  12. operating system - sw: operating system
  13. physical chemistry - sw: kemia ya fizikia
  14. programming language - sw: lugha ya programu
  15. quantum mechanics - sw: umakanika kwanta
  16. set theory - sw: nadharia seti
  17. strong interaction - sw: mtagusano madhubuti
  18. weak interaction - sw: mtagusano dhaifu