Mathayo I wa Aleksandria : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 13: Mstari 13:
*[[Watakatifu wa Agano la Kale]]
*[[Watakatifu wa Agano la Kale]]
*[[Orodha ya Watakatifu Wakristo]]
*[[Orodha ya Watakatifu Wakristo]]
*[[Orodha ya Watakatifu wa Afrika]]
*[[Orodha ya Watakatifu Wafransisko]]
*[[Orodha ya Watakatifu Wafransisko]]



Pitio la 11:00, 1 Agosti 2019

Msalaba wa Kikopti.

Mathayo I wa Aleksandria kuanzia mwaka 1378 hadi 1408 alikuwa Patriarki wa 87 Wakopti[1].

Akiwa na umri wa miaka 14 alijiunga na monasteri na kufikia miaka 18 alipewa upadrisho.

Alisaidia kujulisha Waislamu kwamba Wakristo wa Misri hawahusiki na maovu ya wenzao wa Ulaya wakati wa Vita vya msalaba.

Alipochaguliwa kuwa Papa wa Aleksandria alianza kujiita El Meskin ("Maskini") akawa na misaada mikubwa kwa mafukara pamoja na kuendelea kutetea Wakristo dhidi ya dhuluma za kidini.

Anaheshimiwa na Wakopti kama mtakatifu.

Tazama pia

Tanbihi