Martino wa Tours : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
|||
Mstari 18: | Mstari 18: | ||
*[[Watakatifu wa Agano la Kale]] |
*[[Watakatifu wa Agano la Kale]] |
||
*[[Orodha ya Watakatifu Wakristo]] |
*[[Orodha ya Watakatifu Wakristo]] |
||
*[[Orodha ya Watakatifu wa Afrika]] |
|||
*[[Orodha ya Watakatifu Wafransisko]] |
*[[Orodha ya Watakatifu Wafransisko]] |
||
Pitio la 10:51, 1 Agosti 2019
Martino wa Tours (Savaria, Panonia, leo Hungaria 316 - Candes-Saint-Martin, Gaul, leo Ufaransa 397) alikuwa mmonaki, halafu askofu (kuanzia 371 hadi kifo chake).
Alipokaribia kifo, walimuomba asiondoke, naye akasali hivi: "Ee Bwana, nikihitajiwa bado na watu wako, sikatai uchovu wa kazi: utakalo lifanyike!"
Maisha yake yaliandikwa na Sulpicius Severus yakawa kielelezo cha vitabu juu ya watakatifu.
Sifa yake ilienea haraka hivi kwamba aliheshimiwa kama mtakatifu ingawa hakuwa mfiadini kama kawaida ya wakati ule. Hadi leo anaheshimiwa hivyo na Kanisa Katoliki, Waorthodoksi, Waanglikana, Walutheri n.k.
Sikukuu yake inaadhimishwa tarehe 11 Novemba, ila kwa Waorthodoksi tarehe 11 Oktoba.
Tazama pia
- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Marejeo
- Sulpicius Severus On the Life of St. Martin. Translation and Notes by Alexander Roberts. In A Select Library of Nicene and Post-Nicene Fathers of the Christian Church, New York, 1894, available online
- Clare Stancliffe, St Martin and his hagiographer: History and miracle in Sulpicius Severus (Oxford, Clarendon Press, 1983), pp. xvi+400 (Oxford Historical Monographs).
- Mark Kurlansky (2006). Nonviolence: twenty-five lessons from the history of a dangerous idea. Modern Library chronicles book, Random House, Inc., New York. ISBN 0-679-64335-4.
Viungo vya nje
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
- "St. Martin, Bishop of Tours, Confessor", Butler's Lives of the Saints
- The Life and Miracles of Saint Martin of Tours, Bishop and Confessor of the Catholic Church
- Catholic Encyclopedia: Saint Martin of Tours
- Saint Martin of Tours, The Church of England Parish Church of Barnehurst
- The Community of St Martin
- St Martin's churches in the world
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |