Papa Marcellinus : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Mstari 11: Mstari 11:
*[[Watakatifu wa Agano la Kale]]
*[[Watakatifu wa Agano la Kale]]
*[[Orodha ya Watakatifu Wakristo]]
*[[Orodha ya Watakatifu Wakristo]]
*[[Orodha ya Watakatifu wa Afrika]]
*[[Orodha ya Watakatifu Wafransisko]]
*[[Orodha ya Watakatifu Wafransisko]]



Pitio la 10:40, 1 Agosti 2019

250pix

Papa Marselino alikuwa papa kuanzia 30 Juni 296 hadi kifo chake tarehe 1 Aprili 304. Alimfuata Papa Kayo akafuatwa na Papa Marcellus I.

Tangu mwaka 303, Kanisa liliteseka sana chini ya Kaisari Diokletiano.

Ikiwa Marcellino aliuawa au kufa kwa uzee, hakuna uhakika.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu. Sikukuu yake ni 26 Aprili.

Tazama pia

Viungo vya nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Marcellinus kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.