Maria wa Misri : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Mstari 13: Mstari 13:
*[[Watakatifu wa Agano la Kale]]
*[[Watakatifu wa Agano la Kale]]
*[[Orodha ya Watakatifu Wakristo]]
*[[Orodha ya Watakatifu Wakristo]]
*[[Orodha ya Watakatifu wa Afrika]]
*[[Orodha ya Watakatifu Wafransisko]]
*[[Orodha ya Watakatifu Wafransisko]]



Pitio la 09:07, 1 Agosti 2019

Picha takatifu ya Mt. Maria wa Misri.
Picha takatifu ya Mt. Maria wa Misri (kutoka Urusi, karne ya 18).
Picha takatifu ya Mt Maria wa Misri akizungukwa na matukio ya maisha yake (Beliy Gorod, karne ya 17).
Maria wa Misri akipewa na Zosima wa Palestina joho la kufunikia uchi wake (kutoka Ufaransa, karne ya 15; mchoro sasa uko British Library)
Maria wa Misri alivyochorwa na José de Ribera.

Maria wa Misri (Misri, 344 hivi – Palestina, 421 hivi[1]) alikuwa mwanamke aliyeishi peke yake jangwani baada ya kutubu maisha yake ya dhambi (miaka 17 ya ukahaba mjini Aleksandria[2]).

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki.

Sikukuu yake inaadhimishwa hasa tarehe 1 Aprili.

Tazama pia

Tanbihi

  1. The primary source of information on Saint Mary of Egypt is the Vita written of her by St. Sophronius, the Patriarch of Jerusalem (634–638).
  2. Claudine M. Dauphin (1996). "Brothels, Baths and Babes: Prostitution in the Byzantine Holy Land". Classics Ireland 3: 47–72. doi:10.2307/25528291. 

Marejeo kwa Kiswahili

  • S.J.RUPYA, Makahaba wa jangwani, BPNP 1996, isbn 9976634765.

Viungo vya nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.