Kwale (ndege) : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
better images
→‎Picha: images
Mstari 75: Mstari 75:
==Picha==
==Picha==
<gallery>
<gallery>
Crested francolin.JPG|Kwale kishungi
Crested Francolin, Dendroperdix sephaena at Borakalalo National Park, South Africa (9937702975).jpg|Kwale kishungi
Grey francolin.jpg|Kwale wa Uhindi
Grey francolin.jpg|Kwale wa Uhindi
Peliperdix albogularis (cropped).jpg|Kwale koo-jeupe
Peliperdix albogularis (cropped).jpg|Kwale koo-jeupe
Coqui francolin.jpg|Kwale miguu-njano
Coqui francolin.jpg|Kwale miguu-njano
Francolinus adspersus.jpg|Kwale domo-jekundu
2011-red-billed-francolin.jpg|Kwale domo-jekundu
Francolinus afer1.jpg|Kwale shingo-nyekundu
Francolinus afer1.jpg|Kwale shingo-nyekundu
Pternistis bicalcaratus.jpg|Kwale vikwaru-viwili
Pternistis bicalcaratus.jpg|Kwale vikwaru-viwili

Pitio la 19:34, 31 Julai 2019

Kwa maana nyingine ya jina hili angalia hapa

Kwale
Kwale wa Hildebrandt
Kwale wa Hildebrandt
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Aves (Ndege)
Oda: Galliformes (Ndege kama kuku)
Familia: Phasianidae (Ndege walio na mnasaba na kwale)
Horsfield, 1821
Nusufamilia: Perdicinae
Horsfield, 1821
Ngazi za chini

Jenasi 6 za kwale:

Kwale (pia kware) ni ndege wa jenasi mbalimbali katika nusufamilia Perdicinae wa familia ya Phasianidae. Spishi nne za Francolinus ambazo zina ngozi kichele yenye rangi kali kooni na pande zote za macho huitwa kereng'ende pia. Rangi ya kwale ni kahawia au kijivu na wana michirizi au madoa. Mara nyingi miguu yao ni myekundu au rangi ya manjano na koo lao ni jekundu, jeupe, jeusi au rangi ya manjano. Hujificha kwa kawaida lakini sauti yao husikika mara kwa mara. Chakula chao ni mbegu, wadudu na nyungunyungu. Hutaga mayai matatu hadi kumi ardhini pengine juu ya manyasi makavu.

Karibu spishi zote zinatokea Afrika lakini spishi tano zinatokea Asia.

Spishi za Afrika

Spishi za Asia

Picha