Arseni Mkuu : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Mstari 16: Mstari 16:
*[[Watakatifu wa Agano la Kale]]
*[[Watakatifu wa Agano la Kale]]
*[[Orodha ya Watakatifu Wakristo]]
*[[Orodha ya Watakatifu Wakristo]]
*[[Orodha ya Watakatifu wa Afrika]]
*[[Orodha ya Watakatifu Wafransisko]]
*[[Orodha ya Watakatifu Wafransisko]]



Pitio la 07:29, 30 Julai 2019

Mchoro wa ukutani kwenye mlima Athos, karne ya 14.

Arseni Mkuu, au Arseni shemasi au Arseni wa Scetis au Arseni Mrumi (Roma, 350/354 - Troe, Misri 445) alikuwa msomi na tajiri wa Roma ambaye, baada ya kulea watoto wa kaisari Theodosius I kwa miaka 11, alihamia jangwani huko Misri ili aishi kama mkaapweke kwa miaka 55.

Ni kati ya mababu wa jangwani walioacha athari kubwa zaidi katika maisha ya Kiroho ndani ya Kanisa[1], ndiyo sababu aliitwa "mkuu".

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa kwa kawaida tarehe 8 Mei, isipokuwa na Wakhufi[2][3].

Maandishi

Kati ya vitabu alivyoandika, viwili vipo hadi leo: mwongozo wa maisha ya kimonaki (διδασκαλία και παραινεσις = Fundisho na Angalisho), na ufafanuzi wa Injili ya Luka (εις τον πειρασθεν νομικος = Kuhusu Kishawishi cha Sheria).

Mbali ya hivyo, misemo yake mingi inapatikana katika Apophthegmata Patrum.

Tazama pia

Tanbihi

  1. de Sales, St. Francis (2013). The Complete Introduction to the Devout Life. Brewster, Massachusetts: Paraclete Press. uk. 325. ISBN 1612612350. 
  2. Martyrologium Romanum (2001), http://www.diocesisdecanarias.es/downloads/santosmartirologioenerojunio.pdf.
  3. Ὁ Ὅσιος Ἀρσένιος ὁ Μέγας. 8 Μαΐου. ΜΕΓΑΣ ΣΥΝΑΞΑΡΙΣΤΗΣ.

Vyanzo

Marejeo mengine

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.