Harmonize : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d nimebadilisha ili kuongeza taarifa
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
{{Infobox musical artist|thumb|Jina=Harmonize|Img=|Img_capt=|Background=solo_singer|Jina la kuzaliwa=Rajab Abdul Kahali|Pia anajulikana kama=Harmonize|Amezaliwa={{birth date and age|1994|4|15|df=yes}}|Asili yake=[[Mtwara]],[[Tanzania]]|Ala=[[Piano]], [[Mwimbaji|sauti]]|Aina=[[Bongo Flava]],''Afro Pop''|Kazi yake=[[Mwimbaji]]-[[mtunzi wa nyimbo|mtunzi]], [[mtayarishaji wa rekodi]]|Miaka ya kazi=2011–mpaka sasa|Studio=[[Wasafi Records]]|Ameshirikiana na=[[Rayvanny]], [[Diamond Platnumz]]|Tovuti=[http://www.djlytmas.blogspot.com/ Tovuti Halisi]}}'''Harmonize''' (kwa [[jina]] lake halisi '''Rajab Abdul Kahali''';amezaliwa [[15 Aprili]] [[1994]] ni [[mwimbaji]] na mtunzi wa muziki kutoka [[Tanzania]]. Harmonize ana asili ya mkoa [[Mtwara]] na mara kadhaa hujiita "Konde Boy". Alianza kuvuma kwa kibao chake cha kwanza cha "[[Aiyola]]" (2015), [[Bado]] (2016), [[Matatizo]] (2016) na na baadaye akatoa nyimbo na msanii mwenzie kutoka lebo moja ya wcb ambaye ni dimond platnumz nyimbo ambayo iitwayo kwangalu wimbo ambo ulibamba kalibia maeneo yote ya East Afrika na akatoa kibao kingine kiitwacho inama nyimbo ambayo aliimba na msanii kutoka nje ya tanzania ambaye anaitwa burma na dimond platnimz alikuwepo kwenye uo wimbo na sasa hivi anatamba na kibao kiitwacho never give up wimbo ambao unaelezea historia ya maisha yake kuanzia alivyo kuwa na maisha magumu sana Harmonize anasimamiwa na [[Joel V. Joseph|Joel Joseph]] au kwa jina lingine Mr Puaz
{{Infobox musical artist|thumb|Jina=Harmonize|Img=|Img_capt=|Background=solo_singer|Jina la kuzaliwa=Rajab Abdul Kahali|Pia anajulikana kama=Harmonize|Amezaliwa={{birth date and age|1994|4|15|df=yes}}|Asili yake=[[Mtwara]],[[Tanzania]]|Ala=[[Piano]], [[Mwimbaji|sauti]]|Aina=[[Bongo Flava]],''Afro Pop''|Kazi yake=[[Mwimbaji]]-[[mtunzi wa nyimbo|mtunzi]], [[mtayarishaji wa rekodi]]|Miaka ya kazi=2011–mpaka sasa|Studio=[[Wasafi Records]]|Ameshirikiana na=[[Rayvanny]], [[Diamond Platnumz]]|Tovuti=[http://www.djlytmas.blogspot.com/ Tovuti Halisi]}}
'''Harmonize''' (kwa [[jina]] lake halisi '''Rajab Abdul Kahali'''; mara kadhaa hujiita "Konde Boy"; amezaliwa [[15 Aprili]] [[1994]]) ni [[mwimbaji]] na [[mtunzi]] wa [[muziki]] kutoka [[Tanzania]].
Harmonize ana asili ya [[mkoa wa Mtwara]]. Alianza kuvuma kwa kibao chake cha kwanza cha "[[Aiyola]]" (2015), [[Bado]] (2016), [[Matatizo]] (2016) na baadaye akatoa nyimbo na msanii mwenzie kutoka lebo moja ya wcb ambaye ni [[Diamond Platnumz]].
Kwangalu ni wimbo ambao ulibamba karibia maeneo yote ya East Afrika na akatoa kibao kingine kiitwacho inama nyimbo ambayo aliimba na msanii kutoka nje ya tanzania ambaye anaitwa burma na dimond platnimz alikuwepo kwenye uo wimbo na sasa hivi anatamba na kibao kiitwacho never give up wimbo ambao unaelezea historia ya maisha yake kuanzia alivyo kuwa na maisha magumu sana Harmonize anasimamiwa na [[Joel V. Joseph|Joel Joseph]] au kwa jina lingine Mr Puaz


==Maisha ya Awali==
==Maisha ya Awali==

Pitio la 14:40, 28 Julai 2019

Harmonize
Jina la kuzaliwa Rajab Abdul Kahali
Pia anajulikana kama Harmonize
Amezaliwa 15 Aprili 1994 (1994-04-15) (umri 30)
Asili yake Mtwara,Tanzania
Aina ya muziki Bongo Flava,Afro Pop
Kazi yake Mwimbaji-mtunzi, mtayarishaji wa rekodi
Ala Piano, sauti
Miaka ya kazi 2011–mpaka sasa
Studio Wasafi Records
Ame/Wameshirikiana na Rayvanny, Diamond Platnumz
Tovuti Tovuti Halisi

Harmonize (kwa jina lake halisi Rajab Abdul Kahali; mara kadhaa hujiita "Konde Boy"; amezaliwa 15 Aprili 1994) ni mwimbaji na mtunzi wa muziki kutoka Tanzania.

Harmonize ana asili ya mkoa wa Mtwara. Alianza kuvuma kwa kibao chake cha kwanza cha "Aiyola" (2015), Bado (2016), Matatizo (2016) na baadaye akatoa nyimbo na msanii mwenzie kutoka lebo moja ya wcb ambaye ni Diamond Platnumz.

Kwangalu ni wimbo ambao ulibamba karibia maeneo yote ya East Afrika na akatoa kibao kingine kiitwacho inama nyimbo ambayo aliimba na msanii kutoka nje ya tanzania ambaye anaitwa burma na dimond platnimz alikuwepo kwenye uo wimbo na sasa hivi anatamba na kibao kiitwacho never give up wimbo ambao unaelezea historia ya maisha yake kuanzia alivyo kuwa na maisha magumu sana Harmonize anasimamiwa na Joel Joseph au kwa jina lingine Mr Puaz

Maisha ya Awali

harmonize mwanzoni alibeba maji ili kupata tonge la chakula kabla ya sauti yake kutambulika mitaani kisha baadae kuchukuliwa na lebo ya Diamond platnumz.

Diskografia

Nambari Mada ya wimbo Mwaka
1. "Aiyola" 2015[1]
2. "Bado"ft Diamond Platnumz 2016
3. "Matatizo" 2017
4. "Happy Birthday" 2017
5. "Sina" 2017

Tuzo na teuzi

Mwaka Kazi iliyoteuliwa Tuzo Matokeo
2016 Bado Ft Diamond Platnumz WatsUp TV Tuzo la Video Bora zaidi ya Mwimbaji Chipukizi Ameshinda[2]
Yeye Mwenyewe African Muzik Magazine Awards (AFRIMMA) kwa Mwimbaji Chipukizi Ameshinda[3]
African Entertainment Awards (AEAUSA) kwa Msanii Chipukizi Bora zaidi Ameshinda[4]

Tanbihi

Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Harmonize kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.