Rick Ross : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Removing Rick_Ross_performance.jpg, it has been deleted from Commons by Christian Ferrer because: Copyright violation: lifted subjects facebook [https://www.facebook.com/13571
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
'''Rick Ross''' (alizaliwa [[Mississipi]], [[Marekani]], [[tarehe]] [[28 Januari]] [[1976]]) ni Mmarekani anayeimba [[nyimbo]] za [[hip hop]].
[[Picha:Rick Ross in 2011.jpg|thumb|Rick Ross akiwa jukwaani.]]
'''Rick Ross''' (alizaliwa [[Mississipi]], [[Marekani]], [[tarehe]] [[28 Januari]] [[1976]]) ni msanii wa Marekani anayeimba [[nyimbo]] za [[hip hop]].


Mwaka [[2009]] alianzisha [[studio]] iitwayo [[Maybach Music Group]] ambapo alitoa [[albamu]] kama vile [[Deeper Than Rap]] ya mwaka [[2009]], [[Teflon Don]] ya mwaka [[2010]], [[Hood Billionaire]] ya mwaka [[2014]], [[Black Market]] ya mwaka [[2015]] na [[Rather You Than Me]] ya mwaka [[2017]].
Mwaka [[2009]] alianzisha [[studio]] iitwayo [[Maybach Music Group]] ambapo alitoa [[albamu]] kama vile [[Deeper Than Rap]] ya mwaka [[2009]], [[Teflon Don]] ya mwaka [[2010]], [[Hood Billionaire]] ya mwaka [[2014]], [[Black Market]] ya mwaka [[2015]] na [[Rather You Than Me]] ya mwaka [[2017]].

Pitio la 14:19, 28 Julai 2019

Rick Ross akiwa jukwaani.

Rick Ross (alizaliwa Mississipi, Marekani, tarehe 28 Januari 1976) ni msanii wa Marekani anayeimba nyimbo za hip hop.

Mwaka 2009 alianzisha studio iitwayo Maybach Music Group ambapo alitoa albamu kama vile Deeper Than Rap ya mwaka 2009, Teflon Don ya mwaka 2010, Hood Billionaire ya mwaka 2014, Black Market ya mwaka 2015 na Rather You Than Me ya mwaka 2017.

Pia Rick Ross alikuwa msanii wa kwanza kusajiliwa na kampuni ya Diddy's management company Ciroc Entertainment.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rick Ross kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.