Rayvanny : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d Masahihisho aliyefanya 41.75.220.192 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Riccardo Riccioni
Tag: Rollback
d nimebadilisha ili kuongeza taarifa
Mstari 18: Mstari 18:
'''Raymond Shaban Mwakyusa''' (anafahamika zaidi kwa jina lake kama '''Rayvanny'''; amezaliwa [[22 Agosti]] [[1994]]) ni [[mwimbaji]] na [[mtunzi]] wa [[muziki]] wa kizazi kipya kutoka [[Tanzania]] (kwa asili ni mtu wa mkoani [[Mbeya]]).
'''Raymond Shaban Mwakyusa''' (anafahamika zaidi kwa jina lake kama '''Rayvanny'''; amezaliwa [[22 Agosti]] [[1994]]) ni [[mwimbaji]] na [[mtunzi]] wa [[muziki]] wa kizazi kipya kutoka [[Tanzania]] (kwa asili ni mtu wa mkoani [[Mbeya]]).


"Rayvanny" alianza kujulikana kupitia [[wimbo]] wake "[[Kwetu]]"<ref>{{Cite web|url=http://www.mtvbase.com/news/acts-to-lookout-for-in-2017/vnwv7i|title=mtv news {{!}} top african acts to lookout for in 2017 {{!}} MTV Africa|website=www.mtvbase.com|access-date=2017-10-03}}</ref> si siku nyingi sana tangu [[Harmonize]] atoe wimbo wake wa [[Bado|Bado.]] Baadaye Natafuta Kiki, Sugu ambayo imetolewa kama wimbo wa ziada tu hasa ukizingatia umechukua biti ya Bow Wow (What's My Name). Halafu Mbeleko, Shikwambi, Zezeta na Kijuso aliyoimba na [[Queen Darleen]].
"Rayvanny" alianza kujulikana kupitia [[wimbo]] wake "[[Kwetu]]"<ref>{{Cite web|url=http://www.mtvbase.com/news/acts-to-lookout-for-in-2017/vnwv7i|title=mtv news {{!}} top african acts to lookout for in 2017 {{!}} MTV Africa|website=www.mtvbase.com|access-date=2017-10-03}}</ref> si siku nyingi sana tangu [[Harmonize]] atoe wimbo wake wa [[Bado|Bado.]] Baadaye Natafuta Kiki, Sugu ambayo imetolewa kama wimbo wa ziada tu hasa ukizingatia umechukua biti ya Bow Wow (What's My Name). Halafu Mbeleko, Shikwambi, Zezeta na Kijuso aliyoimba na [[Queen Darleen]] pochi nene aliyo imba na s2kizzy na baadaye mwanza wimbo ambao aliimba na msanii mwenzie dimond platnumz na wimbo huo ulifungiwa na Baraza la Sanaa nchini tanzania BASATA kutokana na kutokuwa na maadili mema hivyo kufanya wimbo huo kufungiwa kupigwa kwenye vyombo vya habari nchini Tanzania na baada ya wimbo huo kufungiwa yeye na dimond wa katoa wimbo uotwao tetema wimbo ambao ulipendwa na watu wengi sana na wimbo huo kuufanya kuwa na watazamaji wengi sana kwenya mitandao ya kijamii kwa mda mfupi sana


==Albamu==
==Albamu==

Pitio la 14:09, 28 Julai 2019

Rayvanny
Jina la kuzaliwa Raymond Shaban Mwakyusa
Pia anajulikana kama Rayvanny
Amezaliwa 22 Agosti 1994 (1994-08-22) (umri 29)
Asili yake Mbeya,Tanzania
Aina ya muziki Bongo Flava,Afro Pop
Kazi yake Mwimbaji-mtunzi, mtayarishaji wa rekodi
Ala Piano, sauti
Miaka ya kazi 2011–mpaka sasa
Studio Wasafi Records
Ame/Wameshirikiana na Harmonize, Diamond Platnumz
Tovuti Tovuti Halisi

Raymond Shaban Mwakyusa (anafahamika zaidi kwa jina lake kama Rayvanny; amezaliwa 22 Agosti 1994) ni mwimbaji na mtunzi wa muziki wa kizazi kipya kutoka Tanzania (kwa asili ni mtu wa mkoani Mbeya).

"Rayvanny" alianza kujulikana kupitia wimbo wake "Kwetu"[1] si siku nyingi sana tangu Harmonize atoe wimbo wake wa Bado. Baadaye Natafuta Kiki, Sugu ambayo imetolewa kama wimbo wa ziada tu hasa ukizingatia umechukua biti ya Bow Wow (What's My Name). Halafu Mbeleko, Shikwambi, Zezeta na Kijuso aliyoimba na Queen Darleen pochi nene aliyo imba na s2kizzy na baadaye mwanza wimbo ambao aliimba na msanii mwenzie dimond platnumz na wimbo huo ulifungiwa na Baraza la Sanaa nchini tanzania BASATA kutokana na kutokuwa na maadili mema hivyo kufanya wimbo huo kufungiwa kupigwa kwenye vyombo vya habari nchini Tanzania na baada ya wimbo huo kufungiwa yeye na dimond wa katoa wimbo uotwao tetema wimbo ambao ulipendwa na watu wengi sana na wimbo huo kuufanya kuwa na watazamaji wengi sana kwenya mitandao ya kijamii kwa mda mfupi sana

Albamu

NYIMBO
Nambari Mada ya wimbo Mwaka Tan[2]
1. "Kwetu" 2016
2. "Natafuta Kiki" 2016
3. "Sugu" 2017
4. "Mbeleko" 2017
5. "Shikwambi" 2017
5. "Zezeta" 2017
6. "Chuma Ulete" 2017
7. "Unaibiwa" 2017
Nyimbo za kolabo
Nambari Mada ya Wimbo Mwaka Mwanamuziki mkuu Tan
1. "Salome" 2016 Diamond Platnumz
2. " Kijuso" 2017 Queen Darling [3]
3. "Zilipendwa" 2017 WCB WASAFI ARTIST ( Rayvanny, Rich Mavoko, Diamond Platnumz, Maromboso, Harmonize, Lava Lava, Queen Darling ) [4][5]

Tanbihi

  1. "mtv news | top african acts to lookout for in 2017 | MTV Africa". www.mtvbase.com. Iliwekwa mnamo 2017-10-03. 
  2. "You searched for RAYVANNY - Notjustok East Africa". Notjustok East Africa (kwa en-US). Iliwekwa mnamo 2017-10-03. 
  3. "VIDEO : Queen Darleen Ft. Rayvanny - Kijuso - Notjustok East Africa", Notjustok East Africa, 2017-02-20. (en-US) 
  4. "MTV News |wcb wasafi’s artists collaborate on "zilipendwa" | MTV Africa". www.mtvbase.com. Iliwekwa mnamo 2017-10-03. 
  5. "Diamond Platnumz, Harmonize, Rich Mavoko, Rayvanny - Zilipendwa (Official Video) - AfroFire", AfroFire, 2017-08-26. (en-US) 
Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rayvanny kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.