Nandy : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
nimebadilisha ili kuongeza taarifa
Mstari 46: Mstari 46:
Kazi yake ilianza kujulikana baada ya rafiki yake kumtambulisha kwa Ruge Mutahaba, Afisa Mtendaji Mkuu wa Tanzania House of Talent (THT). Hapa ndipo alipokutana na Ema the Boy, ambaye ndiye aliyekuja kumtayarishia kibao chake maarufu cha ''Nagusagusa''.Wimbo ulikuja kutamba mno wiki tu tangu kutolewa kwake.
Kazi yake ilianza kujulikana baada ya rafiki yake kumtambulisha kwa Ruge Mutahaba, Afisa Mtendaji Mkuu wa Tanzania House of Talent (THT). Hapa ndipo alipokutana na Ema the Boy, ambaye ndiye aliyekuja kumtayarishia kibao chake maarufu cha ''Nagusagusa''.Wimbo ulikuja kutamba mno wiki tu tangu kutolewa kwake.


Mwanzoni mwa mwaka wa 2016 alishiriki kwenye mashindano ya kuimba yaliyoandaliwa na ''Tecno''. Shindano lilishirikisha washiriki wengine kutoka nchi kibao za Afrika na kipindi cha fainali kilichofanyika huko [[Lagos|Lagos, Nigeria]], Nandy aliibuka kama mshindi wa pili. Shindano hili lilimkuza kimuziki, hasa katika suala zima la utumbuizaji jukwaani, alipata maarifa ya ya muhimu kutoka kwa makungwi wa muziki kama vile akina [[M.I Abaga]], [[Yemi Alade]] na Bien wa [[Sauti Sol]].<ref>{{Cite news|url=http://www.pulse.ng/entertainment/movies/tecno-own-the-stage-29-year-old-wins-25k-recording-deal-id4658851.html|title=29-year-old wins $25K, recording deal|work=pulse.ng|accessdate=4 May 2018|language=en-us}}</ref><ref>{{Cite news|url=http://allafrica.com/stories/201602120881.html|title=Tanzania: Heartbreak for Tanzania's Nandy in Lagos|work=allafrica.com|accessdate=4 May 2018|language=en-us|subscription=yes}}</ref>
Mwanzoni mwa mwaka wa 2016 alishiriki kwenye mashindano ya kuimba yaliyoandaliwa na ''Tecno''. Shindano lilishirikisha washiriki wengine kutoka nchi kibao za Afrika na kipindi cha fainali kilichofanyika huko [[Lagos|Lagos, Nigeria]], Nandy aliibuka kama mshindi wa pili. Shindano hili lilimkuza kimuziki, hasa katika suala zima la utumbuizaji jukwaani, alipata maarifa ya muhimu kutoka kwa makungwi wa muziki kama vile akina [[M.I Abaga]], [[Yemi Alade]] na Bien wa [[Sauti Sol]].<ref>{{Cite news|url=http://www.pulse.ng/entertainment/movies/tecno-own-the-stage-29-year-old-wins-25k-recording-deal-id4658851.html|title=29-year-old wins $25K, recording deal|work=pulse.ng|accessdate=4 May 2018|language=en-us}}</ref><ref>{{Cite news|url=http://allafrica.com/stories/201602120881.html|title=Tanzania: Heartbreak for Tanzania's Nandy in Lagos|work=allafrica.com|accessdate=4 May 2018|language=en-us|subscription=yes}}</ref>


Mwaka wa 2017 alitoa kibao chake kikali kilichokwenda kwa jina la ''One Day'' ambacho kilisukuma kazi yake na hatimaye kumpa nafasi kadhaa zilizomfanya hadi kushiriki kwenye Coke Studio Africa 2017 na mwaka huohuo akaja kuchaguliwa kwenye tuzo za [[All_Africa_Music_Awards#2017_Edition|All Africa Music Awards]] katika kundi la wanamuziki bora wa kike kutoka Afrika Mashariki na kuibuka mshindi.<ref>{{Cite web|url=http://www.coca-cola.co.ke/cokestudio/home/artists/season05/nandy/|title=MEET THE AFRICAN PRINCESS|work=coca-cola.co.ke|accessdate=4 May 2018}}</ref><ref>{{Cite web|url=https://www.coca-colacompany.com/videos/nandy-mane-fitsum-cover-coke-studio-africa-ytgokxzmofrtc|title=Nandy: Mane Fitsum (Cover) - Coke Studio Africa|work=coca-colacompany.com|accessdate=4 May 2018}}</ref><ref>{{Cite web|url=http://celebvibestar.co.ke/aslay-nandy-subalkheri-mpenzi/|title=Aslay – Subalkheri Mpenzi Ft Nandy|work=celebvibestar.co.ke|accessdate=4 May 2018}}</ref><ref>{{Cite web|url=http://www.ethiosports.com/2017/09/09/coke-studio-africa-2017-officially-launches-in-ethiopia/|title=Coke Studio Africa 2017 Officially Launches In Ethiopia|work=ethiosports.com|accessdate=4 May 2018}}</ref><ref>{{Cite web|url=http://www.thecitizen.co.tz/magazine/thebeat/Nandy-and-AliKiba-shine-at-Afrima/1843792-4190288-al1cfbz/index.html|title=Nandy and AliKiba shine at Afrima|work=thecitizen.co.tz|accessdate=4 May 2018}}</ref><ref>{{Cite web|url=http://www.mwananchi.co.tz/Makala/Nandy-atamani-kuwa-kama-Beyonce/1597592-3845790-9lst8s/index.html|title=Nandy atamani kuwa kama Beyonce|work=mwananchi.co.tz|language=sw|accessdate=4 May 2018}}</ref>
Mwaka wa 2017 alitoa kibao chake kikali kilichokwenda kwa jina la ''One Day'' ambacho kilisukuma kazi yake na hatimaye kumpa nafasi kadhaa zilizomfanya hadi kushiriki kwenye Coke Studio Africa 2017 na mwaka huohuo akaja kuchaguliwa kwenye tuzo za [[All_Africa_Music_Awards#2017_Edition|All Africa Music Awards]] katika kundi la wanamuziki bora wa kike kutoka Afrika Mashariki na kuibuka mshindi na akatoa kibao kiitwacho kivuruge na hivi sasa anatamba na wimbo wake ambao amefanyakazi yeye na willy paul ambao jina lake ni hallelujjah<ref>{{Cite web|url=http://www.coca-cola.co.ke/cokestudio/home/artists/season05/nandy/|title=MEET THE AFRICAN PRINCESS|work=coca-cola.co.ke|accessdate=4 May 2018}}</ref><ref>{{Cite web|url=https://www.coca-colacompany.com/videos/nandy-mane-fitsum-cover-coke-studio-africa-ytgokxzmofrtc|title=Nandy: Mane Fitsum (Cover) - Coke Studio Africa|work=coca-colacompany.com|accessdate=4 May 2018}}</ref><ref>{{Cite web|url=http://celebvibestar.co.ke/aslay-nandy-subalkheri-mpenzi/|title=Aslay – Subalkheri Mpenzi Ft Nandy|work=celebvibestar.co.ke|accessdate=4 May 2018}}</ref><ref>{{Cite web|url=http://www.ethiosports.com/2017/09/09/coke-studio-africa-2017-officially-launches-in-ethiopia/|title=Coke Studio Africa 2017 Officially Launches In Ethiopia|work=ethiosports.com|accessdate=4 May 2018}}</ref><ref>{{Cite web|url=http://www.thecitizen.co.tz/magazine/thebeat/Nandy-and-AliKiba-shine-at-Afrima/1843792-4190288-al1cfbz/index.html|title=Nandy and AliKiba shine at Afrima|work=thecitizen.co.tz|accessdate=4 May 2018}}</ref>


===Albamu===
===Albamu===

Pitio la 13:56, 28 Julai 2019

Nandy
Picha ya Nandy
Nandy juu ya jukwaa la Tamasha la Fiesta mjini Dodoma, Tanzania, 2017
Taarifa za awali
Jina la kuzaliwaFaustina Charles Mfinanga
Amezaliwa(1992-11-09)Novemba 9, 1992 (age 31)
Mawenzi, Moshi, Tanzania
Kazi yake
Miaka ya kazi2010–hadi sasa

Nandy (amezaliwa 9 Novemba, 1992) ni mwimbaji na mtunzi wa nyimbo kutoka nchini Tanzania.

Mwaka wa 2017 alishinda tuzo ya All Africa Music Awards katika kundi la wasanii bora wa kike kutoka Afrika Mashariki.[1][2]

Maisha ya awali

Nandy alizaliwa Moshi, Tanzania na Bi. Mary Charles, fundi kushona na Mzee Charles Mfinanga, ambaye ni fundi makenika. Jina la Nandy ni kifupi cha jina lake halisi Nandera. Alianza kutumbuiza akiwa na umri mdogo kabisa. Akiwa na miaka mitano, alikuwa mwanachama hai wa kwaya ya mafunzo ya Jumapili ya Kanisa la KKKT huko Moshi. Alimaliza elimu ya msingi katika shule ya msingi ya Mawenzi, baadaye kajiunga Lomwe High School ambako huko alikuwa mwana-kwaya mkuu katika shule hiyo. Baada ya kumaliza elimu ya juu alijiunga na Chuo cha Biashara (CBE), Dar es Salaam, Tanzania.

Kazi

Tanzania House of Talent

Kazi yake ilianza kujulikana baada ya rafiki yake kumtambulisha kwa Ruge Mutahaba, Afisa Mtendaji Mkuu wa Tanzania House of Talent (THT). Hapa ndipo alipokutana na Ema the Boy, ambaye ndiye aliyekuja kumtayarishia kibao chake maarufu cha Nagusagusa.Wimbo ulikuja kutamba mno wiki tu tangu kutolewa kwake.

Mwanzoni mwa mwaka wa 2016 alishiriki kwenye mashindano ya kuimba yaliyoandaliwa na Tecno. Shindano lilishirikisha washiriki wengine kutoka nchi kibao za Afrika na kipindi cha fainali kilichofanyika huko Lagos, Nigeria, Nandy aliibuka kama mshindi wa pili. Shindano hili lilimkuza kimuziki, hasa katika suala zima la utumbuizaji jukwaani, alipata maarifa ya muhimu kutoka kwa makungwi wa muziki kama vile akina M.I Abaga, Yemi Alade na Bien wa Sauti Sol.[3][4]

Mwaka wa 2017 alitoa kibao chake kikali kilichokwenda kwa jina la One Day ambacho kilisukuma kazi yake na hatimaye kumpa nafasi kadhaa zilizomfanya hadi kushiriki kwenye Coke Studio Africa 2017 na mwaka huohuo akaja kuchaguliwa kwenye tuzo za All Africa Music Awards katika kundi la wanamuziki bora wa kike kutoka Afrika Mashariki na kuibuka mshindi na akatoa kibao kiitwacho kivuruge na hivi sasa anatamba na wimbo wake ambao amefanyakazi yeye na willy paul ambao jina lake ni hallelujjah[5][6][7][8][9]

Albamu

Singo

Tuzo na chaguzi

Mwaka Shere ya Tuzo Tuzo Mpokeaji Tokeo
2017 All Africa Music Awards[1][2] Msanii Bora wa Kike Afrika Mashariki Nandy Ameshinda
2018 AMI Awards Afrika[13] Msanii Bora Chipukizi Nandy Kigezo:Pending

Marejeo

  1. 1.0 1.1 "AFRIMA 2017: Full list of winners", Music In Africa, 2017-11-13. (en) 
  2. 2.0 2.1 Azaniapost. "Bongo Flava: Ali Kiba, Nandy win awards at AFRIMA in Nigeria", Azaniapost. (tr) 
  3. "29-year-old wins $25K, recording deal", pulse.ng. Retrieved on 4 May 2018. (en-us) 
  4. "Tanzania: Heartbreak for Tanzania's Nandy in Lagos", allafrica.com. Retrieved on 4 May 2018. (en-us) 
  5. "MEET THE AFRICAN PRINCESS". coca-cola.co.ke. Iliwekwa mnamo 4 May 2018.  Check date values in: |accessdate= (help)
  6. "Nandy: Mane Fitsum (Cover) - Coke Studio Africa". coca-colacompany.com. Iliwekwa mnamo 4 May 2018.  Check date values in: |accessdate= (help)
  7. "Aslay – Subalkheri Mpenzi Ft Nandy". celebvibestar.co.ke. Iliwekwa mnamo 4 May 2018.  Check date values in: |accessdate= (help)
  8. "Coke Studio Africa 2017 Officially Launches In Ethiopia". ethiosports.com. Iliwekwa mnamo 4 May 2018.  Check date values in: |accessdate= (help)
  9. "Nandy and AliKiba shine at Afrima". thecitizen.co.tz. Iliwekwa mnamo 4 May 2018.  Check date values in: |accessdate= (help)
  10. "Nandy – One Day". notjustok.com. Iliwekwa mnamo 4 May 2018.  Check date values in: |accessdate= (help)
  11. "New Music: Nandy – Kivuruge". uplandradiofm.com (kwa Kiswahili). Iliwekwa mnamo 4 May 2018.  Check date values in: |accessdate= (help)
  12. "Nandy – Ninogeshe". tooxclusive.com.ng. Iliwekwa mnamo 4 May 2018.  Check date values in: |accessdate= (help)
  13. "AMI Awards Afrika 2018 full nominee list". whatshappeningmagazineug.com. Iliwekwa mnamo 4 May 2018.  Check date values in: |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nandy kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.