Zanzibar (maana) : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
d nimebadilisha ili kuongeza taarifa
Mstari 8: Mstari 8:
* jina la filamu, vitabu, hoteli n.k. zilizotajwa kufuatana na neno lenyewe kama vile Jamhuri ya Zanzibar, funguvisiwa la Zanzibar, jiji la Zanzibar n.k.
* jina la filamu, vitabu, hoteli n.k. zilizotajwa kufuatana na neno lenyewe kama vile Jamhuri ya Zanzibar, funguvisiwa la Zanzibar, jiji la Zanzibar n.k.


* kuhusu maana ya neno lenyewe taz. "[[Etimolojia ya Neno Zanzibar]]"
* kuhusu maana ya neno lenyewe taz. "[[Etimolojia ya Neno Zanzibar]]" . ZANZIBAR ilipata uhuru mwaka 1963 na iliungana na TANGANYIKA mwaka 1964 hivyo kutengeneza Jamuhuri ya muungano ya Tanzania na waasisi walikuwa ni hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na hayati Sheikh Abeid Amani Karume.


{{maana}}
{{maana}}

Pitio la 13:23, 28 Julai 2019

Zanzibar ni neno linalotaja

  • kijiografia Funguvisiwa la Zanzibar kwenye mwambao wa Afrika ya Mashariki hasa visiwa vikubwa vya Unguja na Pemba pamoja na visiwa vidogovidogo
  • nje ya Tanzania kisiwa cha Unguja mara nyingi huitwa "Zanzibar"
  • kisiasa Jamhuri ya Watu wa Zanzibar ambayo eneo lake ni sawa na funguvisiwa ikiwa ni sehemu ya Jamhuri ya Maungano ya Tanzania
  • kihistoria Usultani wa Zanzibar iliyoanzishwa baada ya kifo cha Sultani Sayyid Said na kugawiwa kwa Usultani ya Omani mwaka 1856 wakati mwanaye Sayyid Majid alipokuwa sultani wa kwanza wa Zanzibar akitawala funguvisiwa ya Zanzibar pamoja na pwani la Afrika ya Mashariki kati ya Mogadishu (leo mji mkuu wa Somalia) na Rasi ya Delgado (leo Msumbiji ya Kaskazini karibu na mto wa Ruvuma).
  • Jiji la Zanzibar ambalo ni mji mkubwa wa Unguja na mji mkuu wa Jamhuri ya Watu wa Zanzibar
  • jina la filamu, vitabu, hoteli n.k. zilizotajwa kufuatana na neno lenyewe kama vile Jamhuri ya Zanzibar, funguvisiwa la Zanzibar, jiji la Zanzibar n.k.
  • kuhusu maana ya neno lenyewe taz. "Etimolojia ya Neno Zanzibar" . ZANZIBAR ilipata uhuru mwaka 1963 na iliungana na TANGANYIKA mwaka 1964 hivyo kutengeneza Jamuhuri ya muungano ya Tanzania na waasisi walikuwa ni hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na hayati Sheikh Abeid Amani Karume.
Ukurasa huu una maelezo ya maana ili kutofautisha nia mbalimbali zinazolengwa na neno moja. Kwa usaidizi kuhusu makala za aina hii tazama Msaada:Maana

Maelezo katika ukurasa huu yawe mafupi, na kwa kila maana kuwe na kiungo kimoja tu ambacho kiunge ukurasa kuhusu nia yenye maana hii. Ukiwa umefika hapa kwa kutumia kiungo katika makala nyingine, tafadhali badalisha kiungo kile kiunge makala iliyokusudiwa moja kwa moja.