Taiwan : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
pia Taiwani
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Taiwan-CIA WFB Map.png|thumbnail|right|250px|Ramani ya Taiwan]]
[[Picha:Taiwan-CIA WFB Map.png|thumbnail|right|250px|Ramani ya Taiwan]]
'''Taiwan''' (pia: Formosa) ni [[kisiwa]] cha [[Asia ya Mashariki]] katika [[Pasifiki]]. Iko upande wa kusini-mashariki ya [[China]], kusini ya [[Japani]] na kaskazini ya [[Ufilipino]]. Jina la zamani la Taiwan ilikuwa "Formosa" ([[kireno]]: kisiwa kizuri, cha kupendeza)
'''Taiwan''' (pia: Taiwani, Formosa) ni [[kisiwa]] cha [[Asia ya Mashariki]] katika [[Pasifiki]]. Iko upande wa kusini-mashariki ya [[China]], kusini ya [[Japani]] na kaskazini ya [[Ufilipino]]. Jina la zamani la Taiwan ilikuwa "Formosa" ([[kireno]]: kisiwa kizuri, cha kupendeza)


Taiwan ni pia sehemu kubwa ya eneo la [[Jamhuri ya China]] iliyoko kisiwani Taiwan na pia kwenye visiwa vingine vidogo nje ya China bara.
Taiwan ni pia sehemu kubwa ya eneo la [[Jamhuri ya China]] iliyoko kisiwani Taiwan na pia kwenye visiwa vingine vidogo nje ya China bara.

Pitio la 23:28, 26 Julai 2019

Ramani ya Taiwan

Taiwan (pia: Taiwani, Formosa) ni kisiwa cha Asia ya Mashariki katika Pasifiki. Iko upande wa kusini-mashariki ya China, kusini ya Japani na kaskazini ya Ufilipino. Jina la zamani la Taiwan ilikuwa "Formosa" (kireno: kisiwa kizuri, cha kupendeza)

Taiwan ni pia sehemu kubwa ya eneo la Jamhuri ya China iliyoko kisiwani Taiwan na pia kwenye visiwa vingine vidogo nje ya China bara.

Miji mikubwa ni Taipei na Kaohsiung.

Wakazi walio wengi ni Wachina wa Han. Kuna pia wakazi asilia waongeao lugha tofautitofauti.

Kisiwa kinadaiwa na Jamhuri ya Watu wa China kama eneo lake.

Makala hii kuhusu maeneo ya China bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Taiwan kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.