1 Juni : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
→Waliozaliwa: Jason Donovan, 1968. |
|||
Mstari 12: | Mstari 12: | ||
* [[1955]] - [[Chiyonofuji Mitsugu]], [[mwanamwereka]] wa [[Japani]] |
* [[1955]] - [[Chiyonofuji Mitsugu]], [[mwanamwereka]] wa [[Japani]] |
||
* [[1957]] - [[Yasuhiro Yamashita]], mshindani wa [[Judo]] kutoka [[Japani]] |
* [[1957]] - [[Yasuhiro Yamashita]], mshindani wa [[Judo]] kutoka [[Japani]] |
||
* [[1968]] - [[Jason Donovan]] |
|||
* [[1977]] - [[Sarah Wayne Callies]], mwigizaji wa filamu kutoka [[Marekani]] |
* [[1977]] - [[Sarah Wayne Callies]], mwigizaji wa filamu kutoka [[Marekani]] |
||
Pitio la 16:46, 26 Julai 2019
Mei - Juni - Jul | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 1 Juni ni siku ya 152 ya mwaka (ya 153 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 213.
Matukio
Waliozaliwa
- 1801 - Brigham Young, kiongozi wa Umormoni
- 1804 - Mikhail Glinka, mtunzi wa muziki kutoka Urusi
- 1917 - William Knowles, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2001
- 1926 - Marilyn Monroe, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1937 - Morgan Freeman, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1955 - Chiyonofuji Mitsugu, mwanamwereka wa Japani
- 1957 - Yasuhiro Yamashita, mshindani wa Judo kutoka Japani
- 1968 - Jason Donovan
- 1977 - Sarah Wayne Callies, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
Waliofariki
- 193 - Didius Julianus, Kaisari wa Dola la Roma
- 1841 - Nicolas Appert, mvumbuzi Mfaransa
- 1846 - Papa Gregori XVI
- 1868 - James Buchanan, Rais wa Marekani (1857-1861)
- 1925 - Thomas Marshall, Kaimu Rais wa Marekani
- 1968 - Helen Keller, mwandishi asiyeona wala kusikia kutoka nchini Marekani
- 1968 - Charles Howard McIlwain, mwanahistoria kutoka Marekani
- 1979 - Werner Forssmann, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1956
Sikukuu
Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu ya mtakatifu Yustino mfiadini
Viungo vya nje
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 1 Juni kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |