Basi : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Minibus in Novoaltaisk 02.JPG|thumb|Basi dogo huko Novoaltaisk.]]
[[Picha:Minibus in Novoaltaisk 02.JPG|thumb|Basi dogo huko Novoaltaisk.]]
[[Picha:Yutong ZK6129H in Kraków (2).jpg|thumb|Basi la masafa marefu huko [[Krakow]], [[Polandi]].]]
[[Picha:Yutong ZK6129H in Kraków (2).jpg|thumb|Basi la safari ndefu huko [[Krakow]], [[Polandi]].]]
[[Picha:FlixBus Setra S 431 DT - Berlin Alexanderplatz.jpg|thumb|Flixbus huko Ujerumani.]]
[[Picha:FlixBus Setra S 431 DT - Berlin Alexanderplatz.jpg|thumb|Flixbus huko Ujerumani.]]
'''Basi''' (kutoka [[Kiingereza]] "bus") ni [[motokaa]] kubwa inayotumika kusafirisha [[watu]] kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine.
'''Basi''' (kutoka [[Kiingereza]] "bus") ni [[motokaa]] kubwa inayotumika kusafirisha [[watu]] kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine.
Mstari 13: Mstari 13:
**Mabasi ya safari za mbali huwa pia na chumba cha kulala cha dereva wa pili maana madereva wa mabasi huwa na masharti kuhusu idadi ya masaa ambayo hayaruhusiwi kupita kwa sababu za usalama.
**Mabasi ya safari za mbali huwa pia na chumba cha kulala cha dereva wa pili maana madereva wa mabasi huwa na masharti kuhusu idadi ya masaa ambayo hayaruhusiwi kupita kwa sababu za usalama.
<gallery>
<gallery>
Mercedes-Benz 405GN 1 Gelenkbus.jpg|Basi ya mjini yenye kiungo cha kukunja
Mercedes-Benz 405GN 1 Gelenkbus.jpg|Basi la mjini lenye kiungo cha kukunja
LT 471 (LTZ 1471) Arriva London New Routemaster (19522859218).jpg|Basi ya ghorofa 2 mjini London
LT 471 (LTZ 1471) Arriva London New Routemaster (19522859218).jpg|Basi la ghorofa 2 mjini London
Lanzarote Irizar.jpg|Basi ya safari za mbali
Lanzarote Irizar.jpg|Basi la safari za mbali
</gallery>
</gallery>
{{tech-stub}}
{{tech-stub}}

Pitio la 21:43, 19 Julai 2019

Basi dogo huko Novoaltaisk.
Basi la safari ndefu huko Krakow, Polandi.
Flixbus huko Ujerumani.

Basi (kutoka Kiingereza "bus") ni motokaa kubwa inayotumika kusafirisha watu kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine.

Mabasi hutofautishwa kutokana na matumizi hasa kutokana na umbali wa safari.

  • mabasi ya safari za karibu hutumiwa mjini na pia kati ya vijiji au miji ya karibu. Mara nyingi hufuata ratiba maalumu. Katika miji mikubwa hufuatana kila baada ya dakika kadhaa. Ndani ya miji ambako hayana mwendo wa kasi kubwa kuna nafasi kwa abiria wanaosimama, lakini kwa kawaida abiria huketi.
    • kwa usafiri wa mjini penye idadi kubwa wa abiria kuna mabasi yenye ghorofa la juu, pia mabasi marefu yenye sehemu mbili zinazounganishwa kwa kiungo.
    • mabasi ya usafiri wa mjini hayainuliwa sana juu ya uwiano wa barabara ili abiria waweze kushuka na kuingia haraka
  • mabasi ya safari za mbali hayabebi idadi kubwa ya abiria kama mabasi ya mjini. Hapa kwa kawaida viti ni vizuri zaidi ili abiria waone raha kwenye safari ya masaa mengi.
    • Kuna mabasi yenye choo ndani yake.
    • mabasi ya safari za mbali huinuliwa juu zaidi kwa sababu abiria hufika na mizigo yao inayopakizwa kwenye sehemu ya chini; sehemu ya abiria iko juu ya tabaka penye mizigo, injini na tangi ya mafuta.
    • Mabasi ya safari za mbali huwa pia na chumba cha kulala cha dereva wa pili maana madereva wa mabasi huwa na masharti kuhusu idadi ya masaa ambayo hayaruhusiwi kupita kwa sababu za usalama.
Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.