Nyankende : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d →‎top: wa wa --> wa; new lines; double spaces using AWB
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Mstari 1: Mstari 1:
'''Nyankende''' ni kata ya [[Wilaya ya Kahama Vijijini]] katika [[Mkoa wa Shinyanga]], [[Tanzania]]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 14,515 waishio humo.<ref>[http://www.wavuti.weebly.com/uploads/3/0/7/6/3076464/census20general20report20-202920march202013_combined_final20for20printing1.pdf Sensa ya 2012, Shinyanga Region - Kahama District Council]</ref>
'''Nyankende''' ni kata ya [[Wilaya ya Kahama Vijijini]] katika [[Mkoa wa Shinyanga]], [[Tanzania]]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 14,515 waishio humo.kata ya Nyankende ilifaikiwa kuwa na zahanati mwaka 2014 ambapo ilijengwa katika kijiji cha nyakende pia ilipofika mwaka 2015 iliweza kupata shule moja ya sekondari iliyopewa jina la Nyankende huku wakianza na walimu saba tu ikiwemo wawili ni wa sayansi na watano masomo uasanaa mbali na hilo ina shule za msingi sita .1.yankende 2,Bunanda 3.Sinwankere 4.kagera 5.akzyoba na 6.nyambeshi, pia kijiji cha bunanda baadae 2016 kilionhezewa zahanati ya pili kuleta jumla ya zahanati 2 katika kata ua Nyankende kwa kumalizia kuna miaradi mikuu miwili w kwanza ni maji na wapili umeme ambao bado utekelezaji haujanza mpka leo july-2019 <ref>[http://www.wavuti.weebly.com/uploads/3/0/7/6/3076464/census20general20report20-202920march202013_combined_final20for20printing1.pdf Sensa ya 2012, Shinyanga Region - Kahama District Council]</ref>


==Marejeo==
==Marejeo==

Pitio la 04:38, 17 Julai 2019

Nyankende ni kata ya Wilaya ya Kahama Vijijini katika Mkoa wa Shinyanga, Tanzania. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 14,515 waishio humo.kata ya Nyankende ilifaikiwa kuwa na zahanati mwaka 2014 ambapo ilijengwa katika kijiji cha nyakende pia ilipofika mwaka 2015 iliweza kupata shule moja ya sekondari iliyopewa jina la Nyankende huku wakianza na walimu saba tu ikiwemo wawili ni wa sayansi na watano masomo uasanaa mbali na hilo ina shule za msingi sita .1.yankende 2,Bunanda 3.Sinwankere 4.kagera 5.akzyoba na 6.nyambeshi, pia kijiji cha bunanda baadae 2016 kilionhezewa zahanati ya pili kuleta jumla ya zahanati 2 katika kata ua Nyankende kwa kumalizia kuna miaradi mikuu miwili w kwanza ni maji na wapili umeme ambao bado utekelezaji haujanza mpka leo july-2019 [1]

Marejeo

Kigezo:Kata za Wilaya ya Kahama Vijijini

Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Shinyanga bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Nyankende kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.