Upinde : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
spam
Mstari 9: Mstari 9:
Baadaye, upinde ulitumika kama zana za [[vita]] [[jamii]] zilipokuwa zikikabiliana na maadui zao. Hata hivyo [[teknolojia]] hii ya kutumia upinde kama zana za vita imepitwa na wakati kwani kuna zana nyingine zilizo na haraka na bora kuliko upinde na mshale.

Leo upinde hutumika kwa minajili ya kuwinda na katika [[mchezo]] wa archery ingawapo wachezaji wa mchezo huo hutumia upinde wenye muundo tofauti na ulioboreshwa <ref>[https://www.strongnia.com/reverse-curve-crossbow-pros-cons/ crossbow]</ref>.
Leo upinde hutumika kwa minajili ya kuwinda na katika [[mchezo]] wa archery ingawapo wachezaji wa mchezo huo hutumia upinde wenye muundo tofauti na ulioboreshwa

==Tanbihi==
==Tanbihi==
Mstari 19: Mstari 19:
* [http://www.museum.manchester.ac.uk/collection/archery/ Kuhusu upinde toka Jumba la Makumbusho la Chuo Kikuu cha Manchester]]
* [http://www.museum.manchester.ac.uk/collection/archery/ Kuhusu upinde toka Jumba la Makumbusho la Chuo Kikuu cha Manchester]]
* [https://quatr.us/africa/invented-bow-arrow.htm Nani mgunduzi wa upinde na mshale?]
* [https://quatr.us/africa/invented-bow-arrow.htm Nani mgunduzi wa upinde na mshale?]
* [https://www.bowhunting.com/bowhunt101/types-of-bows Aina za upinde wa kuwinda]
* [http://archerynewbie.com/best-compound-bow/ Aina ya upinde maarufu kwa kulenga shabaha na kuwinda]

{{Tech-stub}}
{{Tech-stub}}

Pitio la 13:43, 11 Julai 2019

Mtu akitupa mshale kwa kutumia upinde.

Upinde (kutoka kitenzi "kupinda") ni mti uliokunjwa na kuunganishwa kwa kamba au ngozi hutumiwa kwa ajili ya kurushia mishale.

Historia ya upinde

Inaaminika kuwa upinde wa kale kabisa ulipatikana Holmegård nchini Denmark ukiwa na miaka 8.000.

Upinde ulitengenezwa kwa minajili ya kuwinda wanyama wenye mbio na ambao hawangefikika kwa kukimbizwa mbio au kurushiwa mawe.

Baadaye, upinde ulitumika kama zana za vita jamii zilipokuwa zikikabiliana na maadui zao. Hata hivyo teknolojia hii ya kutumia upinde kama zana za vita imepitwa na wakati kwani kuna zana nyingine zilizo na haraka na bora kuliko upinde na mshale.

Leo upinde hutumika kwa minajili ya kuwinda na katika mchezo wa archery ingawapo wachezaji wa mchezo huo hutumia upinde wenye muundo tofauti na ulioboreshwa

Tanbihi

Viungo vya nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.