Moravian Theological College : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
dNo edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
'''Motheco''' au '''Moravian Theological College''' ilikuwa Chuo cha Theolojia cha [[Kanisa la Moravian Tanzania]] katika mji wa [[Mbeya]] ([[Tanzania]]). Kilianzishwa mwaka 1969 huko [[Chunya]] na kuhamia Mbeya mwaka 1978. Kilifundisha wachungaji wa [[Kanisa la Moravian Tanzania]] pia la Kilutheri hadi kiwango cha cheti na diploma.
'''Moravian Theological College''' ('''Motheco''') ilikuwa Chuo cha Theolojia cha [[Kanisa la Moravian Tanzania]] katika [[mji]] wa [[Mbeya]] ([[Tanzania]]).


Kilianzishwa [[Chunya]] [[mwaka]] [[1969]] na kuhamia Mbeya mwaka [[1978]].
1990 kozi ya BD (Bachelor of Divinity) ilianzishwa.


Kilifundisha [[wachungaji]] wa [[Kanisa la Moravian Tanzania]] pia wa Kilutheri hadi kiwango cha [[cheti]] na [[diploma]].
Tangu 2005 Motheco ilikwisha ikaingia katika [[Chuo Kikuu Teofilo Kisanji]].

Mwaka [[1990]] [[kozi]] ya BD (Bachelor of Divinity) ilianzishwa.

Tangu [[2005]] Motheco ilikwisha kwa kuingia katika [[Chuo Kikuu Teofilo Kisanji]].


[[Jamii:Vyuo vikuu vya Tanzania]]
[[Jamii:Vyuo vikuu vya Tanzania]]
[[Jamii:Mkoa wa Mbeya]]
[[Jamii:Mkoa wa Mbeya]]
[[Jamii:Kanisa la Moravian]]
[[Jamii:Moravian]]

Pitio la 10:56, 10 Julai 2019

Moravian Theological College (Motheco) ilikuwa Chuo cha Theolojia cha Kanisa la Moravian Tanzania katika mji wa Mbeya (Tanzania).

Kilianzishwa Chunya mwaka 1969 na kuhamia Mbeya mwaka 1978.

Kilifundisha wachungaji wa Kanisa la Moravian Tanzania pia wa Kilutheri hadi kiwango cha cheti na diploma.

Mwaka 1990 kozi ya BD (Bachelor of Divinity) ilianzishwa.

Tangu 2005 Motheco ilikwisha kwa kuingia katika Chuo Kikuu Teofilo Kisanji.