Karen Blixen : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[File:Karen Blixen 1913.jpg|thumb|Karen Blixen (1913)]]
[[File:Karen Blixen 1913.jpg|thumb|Karen Blixen (1913)]]


'''Karen Christence Blixen-Finecke''' (jina la kisanii: '''Isak Dinesen''') ([[Rungsted]]/ [[Denmark]] [[17 Aprili]] [[1885]] - [[7 Septemba]] [[1962]]) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya [[Denmark]].
'''Karen Christence Blixen-Finecke''' (jina la kiuandishi alilotumia kwenye nchi zinazozungumza Kiingereza: '''Isak Dinesen''') ([[Rungsted]]/ [[Denmark]] [[17 Aprili]] [[1885]] - [[7 Septemba]] [[1962]]) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya [[Denmark]]. Alitumia pia majina ya '''Tania Blixen''', kwenye nchi zinazozungumza [[Kijerumani]], '''Osceola''' na '''Pierre Andrézel'''.


Aliishi [[Kenya]] -wakati ule: [[Afrika ya Mashariki ya Kiingereza]]- kati ya [[1913]] hadi [[1931]] akiongoza shamba la kahawa karibu na mji wa [[Nairobi]]. Eneo la shamba lake la zamani hadi leo laitwa "[[Karen (Kenya)|Karen]]" ni kitongoji cha Nairobi.
Aliishi [[Kenya]] -wakati ule: [[Afrika ya Mashariki ya Kiingereza]]- kati ya [[1913]] hadi [[1931]] akiongoza shamba la kahawa karibu na mji wa [[Nairobi]]. Eneo la shamba lake la zamani hadi leo laitwa "[[Karen (Kenya)|Karen]]" ni kitongoji cha Nairobi.


Aliandika kumbukumbu ya maisha yake Kenya na kitabu hiki kikawa msingi wa filamu "Out of Africa".
Aliandika kumbukumbu ya maisha yake Kenya na kitabu hiki kikawa msingi wa filamu "Out of Africa". Huko Denmark alijulikana sana kwa kazi yake iitwayo ''[[Seven Gothic Tales]]''.

===Early years===
[[File:Karen Blixen and Thomas Dinesen 1920s.jpg|thumb|right|Karen Blixen na kaka yake [[Thomas Dinesen|Thomas]] kwenye shamba la familia huko Kenya kwenye miaka ya 1920]]

Karen Dinesen alizaliwa [[Rungstedlund]], kaskazini mwa [[Copenhagen]]. Baba yake, Wilhelm Dinesen (1845–1895), alikuwa ni mwandishi na ofisa wa kijeshi toka familia ya wamiliki wa mashamba ya Jutland yenye uhusiano wa karibu na ufalme, kanisa na siasa za [[mrengo wa kulia]]. Mama yake, Ingeborg Westenholz (1856–1939), alitoka kwenye familia tajiri inayofanya biashara. Karen Dinesen alikuwa ni mtoto wa pili kati ya watoto watatu wa kike na wawili wa kiume. Mdodo wake wa kiume, [[Thomas Dinesen]], alipata tuzo ya Victoria Cross wakati wa [[Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia]].<ref>C. Brad Faught, 'The Great Dane and her hero brother', National Post, Toronto, 4 May 2002.</ref> Dinesen was known to her friends as "Tanne".



== Vitabu ==
== Vitabu ==
Mstari 14: Mstari 20:
* ''Vintersagor'', [[1942]].
* ''Vintersagor'', [[1942]].
* ''Skuggor över gräset'', [[1960]].
* ''Skuggor över gräset'', [[1960]].

===Marejeo===
{{Reflist|20em}}



== Viungo vya nje ==
== Viungo vya nje ==

Pitio la 13:53, 2 Julai 2019

Karen Blixen (1913)

Karen Christence Blixen-Finecke (jina la kiuandishi alilotumia kwenye nchi zinazozungumza Kiingereza: Isak Dinesen) (Rungsted/ Denmark 17 Aprili 1885 - 7 Septemba 1962) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Denmark. Alitumia pia majina ya Tania Blixen, kwenye nchi zinazozungumza Kijerumani, Osceola na Pierre Andrézel.

Aliishi Kenya -wakati ule: Afrika ya Mashariki ya Kiingereza- kati ya 1913 hadi 1931 akiongoza shamba la kahawa karibu na mji wa Nairobi. Eneo la shamba lake la zamani hadi leo laitwa "Karen" ni kitongoji cha Nairobi.

Aliandika kumbukumbu ya maisha yake Kenya na kitabu hiki kikawa msingi wa filamu "Out of Africa". Huko Denmark alijulikana sana kwa kazi yake iitwayo Seven Gothic Tales.

Early years

Karen Blixen na kaka yake Thomas kwenye shamba la familia huko Kenya kwenye miaka ya 1920

Karen Dinesen alizaliwa Rungstedlund, kaskazini mwa Copenhagen. Baba yake, Wilhelm Dinesen (1845–1895), alikuwa ni mwandishi na ofisa wa kijeshi toka familia ya wamiliki wa mashamba ya Jutland yenye uhusiano wa karibu na ufalme, kanisa na siasa za mrengo wa kulia. Mama yake, Ingeborg Westenholz (1856–1939), alitoka kwenye familia tajiri inayofanya biashara. Karen Dinesen alikuwa ni mtoto wa pili kati ya watoto watatu wa kike na wawili wa kiume. Mdodo wake wa kiume, Thomas Dinesen, alipata tuzo ya Victoria Cross wakati wa Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia.[1] Dinesen was known to her friends as "Tanne".


Vitabu

  • Sandhedens hævn 1926
  • Sju romantiska berättelser, 1934.
  • Afrikansk pastoral, 1937
  • Vedergällningens vägar, 1944
  • Vintersagor, 1942.
  • Skuggor över gräset, 1960.

Marejeo

  1. C. Brad Faught, 'The Great Dane and her hero brother', National Post, Toronto, 4 May 2002.


Viungo vya nje

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Karen Blixen kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.