Tofauti kati ya marekesbisho "Waraka wa kwanza kwa Timotheo"

Jump to navigation Jump to search
no edit summary
No edit summary
No edit summary
'''Barua ya kwanza kwa Timotheo''' ni kimojawapo kati ya [[vitabu]] 27 vya [[Agano Jipya]] katika [[Biblia ya Kikristo]].
 
Pamoja na [[2Tim|ile ya pili]] aliyomuandikia na [[Waraka kwa Tito|ile kwa Tito]] inaunda [[kundi]] la [[Nyaraka za Kichungaji]].
 
Kama vitabu vingine vyote vya [[Biblia]], hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa [[historia ya wokovu]] ili kukielewa kadiri ya [[maendeleo]] ya [[ufunuo]] wa [[Mungu]] kwa [[binadamu]].
 
== Mazingira ==
Barua hii iliandikwa na [[Mtume Paulo]] baada ya kifungo chake cha kwanza mjini [[Roma]] labda akiwa [[Makedonia]] ili kumpa [[mwanafunzi]] wake mpenzi [[Timotheo]] mashauri na maelekezo kwa [[kazi]] yake aliyomshirikisha.
 
== Viungo vya nje ==
{{Commons category}}{
{{wikiquote}}
{{Commons category}}
{{Wikisource|1 Timothy}}
 
===Tafsiri ya Kiswahili===
* [http://www.intratext.com/IXT/SWA0013/_INDEX.HTM] Agano Jipya kwa lugha ya Kiswahili
 
===Vinginevyo===
===Vingine===
* [http://www.earlychristianwritings.com/1timothy.html First Timothy texts and resources]
{{mbegu-AganoJ}}

Urambazaji