Selulitisi : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Selulitisi''' ni ugonjwa unaotokana na bakteria unaoathiri ngozi.<ref>{{cite web |title=What is Cellulitis |url=https://www.ecellulitis.com/what-is-cellu...'
 
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
'''Selulitisi''' ni ugonjwa unaotokana na [[bakteria]] unaoathiri ngozi.<ref>{{cite web |title=What is Cellulitis |url=https://www.ecellulitis.com/what-is-cellulitis/ |website=ecellulitis.com |accessdate=2019-06-28}}</ref> Dalili zake ni pamoja na ngozi kubadilika rangi na kuwa nyekundu na pia kuvimba. Sehemu iliyoathiriwa huwa na maumivu. <ref>{{cite book |author=Tintinalli, Judith E. |title=Emergency Medicine: A Comprehensive Study Guide (Emergency Medicine (Tintinalli)) |publisher=McGraw-Hill Companies |location=New York |year=2010 |pages=1016 |edition=7th |isbn=978-0-07-148480-0}}</ref> and the person may have a [[fever]] and feel tired.<ref name=Mint2013>{{cite journal|last=Mistry|first=RD|title=Skin and soft tissue infections |journal=Pediatric Clinics of North America |date=Oct 2013|volume=60|issue=5|pages=1063–82|pmid=24093896|doi=10.1016/j.pcl.2013.06.011}}</ref>
'''Selulitisi''' ni ugonjwa unaotokana na [[bakteria]] unaoathiri ngozi.<ref>{{cite web |title=What is Cellulitis |url=https://www.ecellulitis.com/what-is-cellulitis/ |website=ecellulitis.com |accessdate=2019-06-28}}</ref> Dalili zake ni pamoja na ngozi kubadilika rangi na kuwa nyekundu na pia kuvimba. Sehemu iliyoathiriwa huwa na maumivu. <ref>{{cite book |author=Tintinalli, Judith E. |title=Emergency Medicine: A Comprehensive Study Guide (Emergency Medicine (Tintinalli)) |publisher=McGraw-Hill Companies |location=New York |year=2010 |pages=1016 |edition=7th |isbn=978-0-07-148480-0}}</ref> Mgonjwa anaweza kuwa na [[homa]] na kujisikia mchovu.<ref name=Mint2013>{{cite journal|last=Mistry|first=RD|title=Skin and soft tissue infections |journal=Pediatric Clinics of North America |date=Oct 2013|volume=60|issue=5|pages=1063–82|pmid=24093896|doi=10.1016/j.pcl.2013.06.011}}</ref>


Miguu na uso ndio sehemu zinazoathiriwa zaidi na ugonjwa huu ingawa unaweza kuathiri sehemu yoyote ya mwili. Kati ya sababu zinazowezesha mtu kupata ugonjwa huu ni pamoja na unene kupita kiasi, kuvimba kwa miguu, na uzee. Bakteria wanaosababisha ugonjwa huu ni [[streptococci]] na ''[[Staphylococcus aureus]]''.
Miguu na uso ndio sehemu zinazoathiriwa zaidi na ugonjwa huu ingawa unaweza kuathiri sehemu yoyote ya mwili. Kati ya sababu zinazowezesha mtu kupata ugonjwa huu ni pamoja na unene kupita kiasi, kuvimba kwa miguu, na uzee. Bakteria wanaosababisha ugonjwa huu ni [[streptococci]] na ''[[Staphylococcus aureus]]''.

Pitio la 04:12, 28 Juni 2019

Selulitisi ni ugonjwa unaotokana na bakteria unaoathiri ngozi.[1] Dalili zake ni pamoja na ngozi kubadilika rangi na kuwa nyekundu na pia kuvimba. Sehemu iliyoathiriwa huwa na maumivu. [2] Mgonjwa anaweza kuwa na homa na kujisikia mchovu.[3]

Miguu na uso ndio sehemu zinazoathiriwa zaidi na ugonjwa huu ingawa unaweza kuathiri sehemu yoyote ya mwili. Kati ya sababu zinazowezesha mtu kupata ugonjwa huu ni pamoja na unene kupita kiasi, kuvimba kwa miguu, na uzee. Bakteria wanaosababisha ugonjwa huu ni streptococci na Staphylococcus aureus.

Matibabu yake huwa ni kwa dawa kama vile cephalexin, amoxicillin au cloxacillin. Kwa wale wenye matatizo ya kutumia dawa kama penicillin, dawa za erythromycin na clindamycin hutumiwa.

Marejeo

  1. "What is Cellulitis". ecellulitis.com. Iliwekwa mnamo 2019-06-28. 
  2. Tintinalli, Judith E. (2010). Emergency Medicine: A Comprehensive Study Guide (Emergency Medicine (Tintinalli)) (toleo la 7th). New York: McGraw-Hill Companies. uk. 1016. ISBN 978-0-07-148480-0. 
  3. Mistry, RD (Oct 2013). "Skin and soft tissue infections". Pediatric Clinics of North America 60 (5): 1063–82. PMID 24093896. doi:10.1016/j.pcl.2013.06.011. 

Soma zaidi

  • Stevens, DL; Bisno, AL; Chambers, HF; Dellinger, EP; Goldstein, EJ; Gorbach, SL; Hirschmann, JV; Kaplan, SL; Montoya, JG; Wade, JC (15 July 2014). "Practice guidelines for the diagnosis and management of skin and soft tissue infections: 2014 update by the infectious diseases society of America.". Clinical Infectious Diseases 59 (2): 147–59. PMID 24947530. doi:10.1093/cid/ciu296.  Check date values in: |date= (help)

Viungo vya nje