Margaret Mwanakatwe : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ' {{Infobox Officeholder | name = Margaret Mwanakatwe | image = | image_size = | caption = | birth_date = {{Birth date and age|1961|11|01|df=yes}} | bi...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 08:04, 27 Juni 2019

Margaret Mwanakatwe

Aliingia ofisini 
14 February 2018
Rais Edgar Lungu
mtangulizi Felix Mutati

Muda wa Utawala
2 February 2015 – 14 February 2018
Rais Edgar Lungu
mtangulizi Robert Sichinga
aliyemfuata Christopher Yaluma

Mkurugenzi Mkuu wa United Bank for Africa[1]
Muda wa Utawala
March 2009 – May 2011
mtangulizi Post established
aliyemfuata Frans Ojielu

Mkurugenzi Mkuu wa Barclays Bank of Ghana PLC
Muda wa Utawala
2004 – 2009
mtangulizi Kobina Quansah
aliyemfuata Ernest Debrah

Mkurugenzi Mkuu wa Barclays Bank of Zambia
Muda wa Utawala
2001 – 2008
mtangulizi Ian Knapman

tarehe ya kuzaliwa 1 Novemba 1961 (1961-11-01) (umri 62)
Northern Rhodesia
utaifa Zambian
ndoa Mupanga Mwanakatwe
mhitimu wa University of Zambia
(Bachelor of Business Administration)
Fani yake Senior bank executive

Margaret Mhango Mwanakatwe ni Waziri wa Fedha wa Zambia na mbunge wa jimbo la Lusaka Kati wa chama cha Patriotic Front. Awali alifanya kazi mbalimbali zikiwemo biashara, uhasibu, na ofisa wa benki. Alikuwa ni mkurugenzi wa maendeleo ya kibiashara kwa nchi zinazozungumza Kiingereza Afrika katika benki ya United Bank for Africa kwenye makao yake makuu Lagos, Nigeria. Alisimamia maendeleo ya kibiashara kwenye nchi za Kameruni, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Ghana, Kenya, Liberia, Msumbiji, Tanzania, Uganda, na Zambia. Kabla ya hapo alikuwa mkurugenzi mkuu wa United Bank for Africa Uganda Limited toka Machi 2009 hadi Mei 2011.


Historia

Alizaliwa Zambia Novemba 1 1961. Ana shahada ya Business Administration na pia ni Chartered Certified Accountant, anayetambuliwa na Association of Chartered Certified Accountants of London.

Marejeo

  1. Vision Reporter (19 June 2011). "United Bank for Africa to get new Managing Director". New Vision. Kampala. Iliwekwa mnamo 8 September 2016.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)

Viungo vya nje