Google My Business : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ' '''Google My Business''' ni huduma ya mtandaoni kwa wamiliki wa kampuni za biashara inayoendeshwa na Google. Huduma hii ilizinduliwa Juni 2014<ref>{{Cite w...'
 
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
'''Google My Business''' ni huduma ya mtandaoni kwa wamiliki wa kampuni za biashara inayoendeshwa na [[Google]]. Huduma hii ilizinduliwa Juni 2014<ref>{{Cite web|url=https://www.postbulletin.com/marketing/a-brief-history-of-google-my-business/article_a8233a88-81f7-11e7-9bd9-f75e295737ab.html|title=A Brief History of Google My Business|last=Consultant|first=Ron Hanson, Post Bulletin Senior Media|website=PostBulletin.com|language=en|access-date=2019-02-06}}</ref> kama njia ya kuwapa wamiliki wa kampuni za biashara uwezo zaidi wa kuamua habari gani zionekane pale pale mtu anapotafuta jina fulani la biashara kwenye tovuti ya utafutaji ya Google. Huduma hii inawawezesha watu kuthibitisha taarifa za biashara zao kama vile jina, anuani, n.k.<ref>{{cite news |url=http://www.chaddo.com/index.php/phone-and-text-verification-on-google-maps/ |title=Phone and Text Verification on Google Maps |publisher=Chaddo.com |date=June 7, 2017 |access-date=January 2, 2018 |deadurl=no |archiveurl=https://web.archive.org/web/20180103072631/http://www.chaddo.com/index.php/phone-and-text-verification-on-google-maps/ |archivedate=January 3, 2018}}</ref> Biashara zilizojisajili kwenye Google My Business listing hutokea pia kwenye [[Google Maps]]. Inasaidia pia biashara ndogo kupata wateja kupitia mtandao kwa kuwa matokeo ya utafutaji huonyesha aina za biashara zinazotafutwa katika makazi ya mtafutaji. <ref>{{cite web |url=

https://www.primal.co.th/seo/google-my-business-improve-seo/ |title=Google My Businessː The Key to Local SEO }}</ref>
'''Google My Business''' ni huduma ya mtandaoni kwa wamiliki wa kampuni za biashara inayoendeshwa na [[Google]]. Huduma hii ilizinduliwa Juni 2014<ref>{{Cite web|url=https://www.postbulletin.com/marketing/a-brief-history-of-google-my-business/article_a8233a88-81f7-11e7-9bd9-f75e295737ab.html|title=A Brief History of Google My Business|last=Consultant|first=Ron Hanson, Post Bulletin Senior Media|website=PostBulletin.com|language=en|access-date=2019-02-06}}</ref> kama njia ya kuwapa wamiliki wa kampuni za biashara uwezo zaidi wa kuamua habari gani zionekane pale pale mtu anapotafuta jina fulani la biashara kwenye tovuti ya utafutaji ya Google. Huduma hii inawawezesha watu kuthibitisha taarifa za biashara zao kama vile jina, anuani, n.k.<ref>{{cite news |url=http://www.chaddo.com/index.php/phone-and-text-verification-on-google-maps/ |title=Phone and Text Verification on Google Maps |publisher=Chaddo.com |date=June 7, 2017 |access-date=January 2, 2018 |deadurl=no |archiveurl=https://web.archive.org/web/20180103072631/http://www.chaddo.com/index.php/phone-and-text-verification-on-google-maps/ |archivedate=January 3, 2018}}</ref> Biashara zilizojisajili kwenye Google My Business listing hutokea pia kwenye [[Google Maps]].





Pitio la 10:50, 26 Juni 2019

Google My Business ni huduma ya mtandaoni kwa wamiliki wa kampuni za biashara inayoendeshwa na Google. Huduma hii ilizinduliwa Juni 2014[1] kama njia ya kuwapa wamiliki wa kampuni za biashara uwezo zaidi wa kuamua habari gani zionekane pale pale mtu anapotafuta jina fulani la biashara kwenye tovuti ya utafutaji ya Google. Huduma hii inawawezesha watu kuthibitisha taarifa za biashara zao kama vile jina, anuani, n.k.[2] Biashara zilizojisajili kwenye Google My Business listing hutokea pia kwenye Google Maps. Inasaidia pia biashara ndogo kupata wateja kupitia mtandao kwa kuwa matokeo ya utafutaji huonyesha aina za biashara zinazotafutwa katika makazi ya mtafutaji. [3]


Maelezo ambayo hutokeza kwenye tovuti ya Google kutokana na huduma hii ni pamoja na saa za kufunguliwa kwa biashara, anuani, simu, na picha.[4] Google may combine the information provided by businesses with information from other sources, including a business's own website, Google user contributions, and third party websites.[5] Huduma hii hutolewa bure.[6]

Tovuti

Google My Business huwezesha wenye biashara kuunda tovuti zao bila gharama yotote.[7]


Picha na video

Wamiliki wa biashara wanaweza kuweka picha na video kwenye ukurasa wao katika Google My Business.[8] Wanaweza pia kuweka nembo ya kampuni.

Marejeo

  1. Consultant, Ron Hanson, Post Bulletin Senior Media. A Brief History of Google My Business (en).
  2. "Phone and Text Verification on Google Maps", Chaddo.com, June 7, 2017. Archived from the original on January 3, 2018. 
  3. Google My Businessː The Key to Local SEO.
  4. Edit your business listing on Google. Iliwekwa mnamo 2019-03-02.
  5. How Google uses business information. Iliwekwa mnamo 2019-03-02.
  6. FAQs. Iliwekwa mnamo 2019-03-02.
  7. Create a free website for your business in minutes.. Iliwekwa mnamo 2019-03-02.
  8. Add local business photos or videos.

Viungo vya nje