Tofauti kati ya marekesbisho "Haki za binadamu"

Jump to navigation Jump to search
No change in size ,  mwaka 1 uliopita
no edit summary
 
'''Haki za binadamu''' ni wazo la kuwa kila mtu anastahili [[haki]] kadhaa si kwa kutegemea [[cheo]], wala [[taifa]], wala [[tabaka]], wala [[jinsia]], wala [[dini]] kwa sababu tu yeye amezaliwa [[binadamu]].
 
Haki hizi zimeorodheshwa hasa katika [[Azimio la ulimwenguKimataifa juu ya hakiHaki za binadamuBinadamu]] lililotolewa na [[Umoja wa Mataifa]] mwaka [[1948]]. Tamko la UM lilikuwa kamilisho la majadiliano kuhusu haki hizi yaliyoendelea kwa [[karne]] kadhaa.
 
Hoja la kimsingi ni kwamba, "Watu wote wamezaliwa huru; [[hadhi]] na haki zao ni sawa. Wote wamejaliwa [[akili]] na [[dhamiri]], hivyo yawapasa watendeane kindugu". (Kifungu 1 cha tangazo la 1948).

Urambazaji