Utendi : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
'''Utendi''' (pia: '''utenzi''') ni aina ya [[ushairi]] na [[tanzu]] mojawapo ya [[fasihi simulizi]]. Kwa kawaida, utendi husimulia maisha na matendo ya mhusika [[shujaa]] au wa [[kisasili|visasili]]. [[Ulaya]], kuna tendi kama ''wimbo wa [[Troya]]'', ''wimbo wa [[Odisei]]'' na wimbo wa kabila la ''[[Nibelungi]]''; na [[India]] kuna ''wimbo wa [[Mahabharata]]''. Hizo zote mara nyingi hudondolewa kama mifano ya utendi. Siku hizi hata [[riwaya]] au filamu, hasa kama ni ndefu sana pamoja na wahusika wengi au nyakati nyingi, huitwa utendi.
'''Utendi''' (pia: '''utenzi''') ni aina ya [[ushairi]] na [[tanzu]] mojawapo ya [[fasihi simulizi]]. Kwa kawaida, utendi husimulia maisha na matendo ya mhusika [[shujaa]] au wa [[kisasili|visasili]]. [[Ulaya]], kuna tendi kama ''wimbo wa [[Troya]]'', ''wimbo wa [[Odisei]]'' na wimbo wa kabila la ''[[Nibelungi]]''; [[India]] kuna ''wimbo wa [[Mahabharata]]'', [[Afrika]] kuna ''wimbo wa [[Sundiata]]'' na ''wimbo wa [[Oduduwa]]. Hizo zote mara nyingi hudondolewa kama mifano ya utendi. Siku hizi hata [[riwaya]] au filamu, hasa kama ni ndefu sana pamoja na wahusika wengi au nyakati nyingi, huitwa utendi.


Katika matumizi ya Wakristo wanaotumia Kiswahili tahajia ya "utenzi" inataja hasa nyimbo za kiroho.
Katika matumizi ya Wakristo wanaotumia Kiswahili tahajia ya "utenzi" inataja hasa nyimbo za kiroho.

Pitio la 13:59, 18 Juni 2019

Utendi (pia: utenzi) ni aina ya ushairi na tanzu mojawapo ya fasihi simulizi. Kwa kawaida, utendi husimulia maisha na matendo ya mhusika shujaa au wa visasili. Ulaya, kuna tendi kama wimbo wa Troya, wimbo wa Odisei na wimbo wa kabila la Nibelungi; India kuna wimbo wa Mahabharata, Afrika kuna wimbo wa Sundiata na wimbo wa Oduduwa. Hizo zote mara nyingi hudondolewa kama mifano ya utendi. Siku hizi hata riwaya au filamu, hasa kama ni ndefu sana pamoja na wahusika wengi au nyakati nyingi, huitwa utendi.

Katika matumizi ya Wakristo wanaotumia Kiswahili tahajia ya "utenzi" inataja hasa nyimbo za kiroho.