Utendi : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 3 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q1456526 (translate me)
No edit summary
Tag: 2017 source edit
Mstari 1: Mstari 1:
'''Utendi''' ni aina ya [[ushairi]] na [[tanzu]] mojawapo ya [[fasihi simulizi]]. Kwa kawaida, utendi husimulia maisha na matendo ya mhusika [[shujaa]] au wa [[kisasili|visasili]]. [[Ulaya]], kuna tendi kama ''wimbo wa [[Troya]]'', ''wimbo wa [[Odisei]]'' na wimbo wa kabila la ''[[Nibelungi]]''; na [[India]] kuna ''wimbo wa [[Mahabharata]]''. Hizo zote mara nyingi hudondolewa kama mifano ya utendi. Siku hizi hata [[riwaya]] au filamu, hasa kama ni ndefu sana pamoja na wahusika wengi au nyakati nyingi, huitwa utendi.
'''Utendi''' (pia: '''utenzi''') ni aina ya [[ushairi]] na [[tanzu]] mojawapo ya [[fasihi simulizi]]. Kwa kawaida, utendi husimulia maisha na matendo ya mhusika [[shujaa]] au wa [[kisasili|visasili]]. [[Ulaya]], kuna tendi kama ''wimbo wa [[Troya]]'', ''wimbo wa [[Odisei]]'' na wimbo wa kabila la ''[[Nibelungi]]''; na [[India]] kuna ''wimbo wa [[Mahabharata]]''. Hizo zote mara nyingi hudondolewa kama mifano ya utendi. Siku hizi hata [[riwaya]] au filamu, hasa kama ni ndefu sana pamoja na wahusika wengi au nyakati nyingi, huitwa utendi.


[[Category:Fasihi]]
[[Category:Fasihi]]

Pitio la 11:11, 18 Juni 2019

Utendi (pia: utenzi) ni aina ya ushairi na tanzu mojawapo ya fasihi simulizi. Kwa kawaida, utendi husimulia maisha na matendo ya mhusika shujaa au wa visasili. Ulaya, kuna tendi kama wimbo wa Troya, wimbo wa Odisei na wimbo wa kabila la Nibelungi; na India kuna wimbo wa Mahabharata. Hizo zote mara nyingi hudondolewa kama mifano ya utendi. Siku hizi hata riwaya au filamu, hasa kama ni ndefu sana pamoja na wahusika wengi au nyakati nyingi, huitwa utendi.