Usoshalisti : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'upright|thumb|150px|[[Stempu ya Umoja wa Kisovyeti iliyomkumbusha Kwame Nkrumah, rais wa kwanza wa Ghana, aliyependekeza...'
 
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Mstari 1: Mstari 1:
[[File:1989 CPA 6101.jpg|upright|thumb|150px|[[Stempu]] ya [[Umoja wa Kisovyeti]] iliyomkumbusha [[Kwame Nkrumah]], rais wa kwanza wa [[Ghana]], aliyependekeza [[usoshalisti wa Kiafrika]].]]
[[File:1989 CPA 6101.jpg|upright|thumb|150px|[[Stempu]] ya [[Umoja wa Kisovyeti]] iliyomkumbusha [[Kwame Nkrumah]], rais wa kwanza wa [[Ghana]], aliyependekeza [[usoshalisti wa Kiafrika]].]]
[[File:New Harmony, Indiana, por F. Bates.jpg|upright|thumb|150px]]
'''Usoshalisti''' ni [[nadharia]] ambayo inahusu [[siasa]] na [[uchumi]] na kutaka [[njia kuu za uchumi]] ziwe na manufaa kwa [[jamii]] nzima; ili kuhakikisha hilo, inataka zimilikiwe na [[umma]], [[dola]] au [[taifa]].

Pitio la 22:41, 13 Juni 2019

Stempu ya Umoja wa Kisovyeti iliyomkumbusha Kwame Nkrumah, rais wa kwanza wa Ghana, aliyependekeza usoshalisti wa Kiafrika.

Usoshalisti ni nadharia ambayo inahusu siasa na uchumi na kutaka njia kuu za uchumi ziwe na manufaa kwa jamii nzima; ili kuhakikisha hilo, inataka zimilikiwe na umma, dola au taifa.

Chanzo cha nadharia hiyo ni karne ya 18 kutokana na Vita vya uhuru wa Marekani na hasa Mapinduzi ya Kifaransa.

Zilitokea aina nyingi za usoshalisti, kila moja ikiwa ya namna yake. Muhimu zaidi ni ile ya Karl Marx (1818-1883) aliyedai ukomunisti kuwa njia pekee ya kuleta haki na usawa.

Upande wa Afrika, mojawapo ni "Ujamaa" ambao ulipendekezwa na Julius Kambarage Nyerere (1922-1999), rais wa kwanza wa Tanzania, na ulipitishwa katika Tamko la Arusha.

Marejeo

Viungo vya nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Wikiquote ina mkusanyiko wa dondoo kuhusu: