Nile ya buluu : Tofauti kati ya masahihisho
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 32: | Mstari 32: | ||
==Tazama pia== |
==Tazama pia== |
||
* [[Mito mirefu ya Afrika]] |
* [[Mito mirefu ya Afrika]] |
||
{{mito ya Etiopia}} |
|||
{{mbegu-jio-Afrika}} |
{{mbegu-jio-Afrika}} |
||
Pitio la 13:35, 7 Juni 2019
Chanzo | Ziwa Tana (chemchemi ya Gishe Abbai) |
Mdomo | Mto Nile mjini Khartum (Sudan) |
Nchi | Ethiopia, Sudan |
Urefu | 1.350 km |
Kimo cha chanzo | 1830 m |
Mkondo | ?? m³/s |
Eneo la beseni | 326,400 km² |
Nile ya buluu ni tawimto kubwa la mto Nile. Inaanza katika Ziwa Tana kwenye nyanda za juu za Ethiopia na kutelemka hadi Sudan. Mdomo wake uko mjini Khartum inapounganika na Nile nyeupe na kuunda mto wa Nile wenyewe.
Kwa jumla Nile ya bluu inabeba maji mengi kushinda Nile nyeupe.
Ndani ya Ethiopia mto huitwa kwa jina Abbai (mto mkubwa, pia Abay au Abai) kwa kuwa ndio mto mkubwa kabisa wa Ethiopia.
Baada ya kutoka Ethiopia na kuingia Sudan inaitwa kwa Kiarabu: النيل الأزرق; an-nīl al-azraq.
Ina chanzo chake kwenye kimo cha mita 1800 juu ya UB inapotoka katika Ziwa Tana katika nyanda za juu za Ethiopia. Kwanza inaelekea kusini-mashariki lakini inabadili mwelekeo kwenda magharibi halafu kaskazini.
Waethiopia wengi wanasemekana kuutazama kama mto mtakatifu.
Tazama pia
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Nile ya buluu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |