Rukia yaliyomo

Mwanaanga : Tofauti kati ya masahihisho

231 bytes added ,  miaka 3 iliyopita
no edit summary
No edit summary
No edit summary
[[File:Piers Sellers spacewalk.jpg|thumb|300px|Mwanaanga Piers Sellers nje ya chombo cha [[space shuttle]] tar.tarehe 12 Juni 2006.]]
'''Mwanaanga''' ni [[mtu]] anayerushwa katika [[anga-nje]] yayaani nje[[anga]] lililo nje ya [[angahewa]] ya [[dunia]]. [[Jina|Majina]] mengine yaliyokuwa kawaida ni "kosmonavtikosmonauti" ([kwa [Kirusi]]: космонавт) kwa wanaanga [[Warusi]] na "astronauti" (kwa [[Kiing.Kiingereza]] astronaut) wakwa wanaanga kutoka [[Marekani]]. [[Wachina]] wametumia [[neno]] "taikonauti".
 
Mwanaanga wa kwanza katika [[historia]] ya [[binadamu]] alikuwa Mrusi [[Yuri Gagarin]] kutoka [[Umoja wa Kisovyeti]] aliyerushwa [[tarehe]] [[12 Aprili]] [[1961]] kwa [[chombo cha angani]] [[Vostok]] akizunguka dunia loteyote mara [[moja]] katika [[muda]] wa [[dakika]] 108.
 
Alifuatwa tarehe [[5 Mei]] 1961 na [[Alan Shepard]] kutoka [[Marekani]] aliyetumia chombo cha angani cha [[Mercury (chombo cha angani)|Mercury]] .
 
[[Mwanamke]] wa kwanza angani alikuwa Mrusi [[Valentina Tereshkova]] mwaka [[1963]].
 
Wanaanga wa kwanza waliofika kwenye uso wa mwezi[[Mwezi]] walikuwa Wamarekani [[Neil Armstrong]] na [[Buzz Aldrin]] tar.tarehe [[20 Julai]] [[1969]].
 
Hadi machi[[Machi]] [[2008]] jumla ya watu 477 kutoka nchi 39 walifika kwenye kimo cha [[kilomita]] 100 juu ya uso wa dunia ambacho ni kimo ambako anga-nje linaanza kulingana na maelezo ya [[Shirikisho la Kimataifa kwa Usafiri wa Angani]] (Fédération Aéronautique Internationale (FAI)).
 
Kati ya hawa ni 24 waliofika mbali zaidi kuliko kilomita 2,000 juu ya uso wa dunia hadi njia ya mwezi kwenye anga.
 
Mwanaanga aliyekaa [[muda]] mrefu angani alkuwa Mrusi [[Sergei Krikalyov]] aliyefika angani mara [[sita]] akakaa jumla ya [[siku]] 803, masaa[[saa]] 9 na [[dakika]] 39 kwenye anga-nje.
 
Baina ya miaka [[2001]] hadi [[2009]] watu [[Saba (namba)|saba]] walifika kwenye anga-nje kama [[watalii]] yaani wageni waliolipa kwawaliolipia nafasi ya kusafiri pamoja na wanaanga hadi [[Kituo cha Anga cha Kimataifa]] (ISS) walipokaa kwa [[wiki]] moja. Walilipa zaidi ya [[Dolar ya Marekani|dolar]] [[milioni]] 20. Mmoja waoMmojawao alikuwa [[Mark shuttleworthShuttleworth]] wa [[Afrika Kusini]].
 
== Picha za wanaanga ==
 
<gallery caption="" widths="100px" heights="100px" perrow="6">
Image:Stamp_2011_Gagarin_(1).JPG|<small>[[Yuri Gagarin]] - mtu wa kwanza angani</small>
</gallery>
 
==Viungo vya nje==
{{commonscat|Astronauts}}
 
 
[[Jamii:Wanaanga|*]]
[[Jamii:Kazi]]