Rukia yaliyomo

Mwanaanga : Tofauti kati ya masahihisho

290 bytes added ,  miaka 3 iliyopita
no edit summary
No edit summary
No edit summary
 
Mwanaanga aliyekaa muda mrefu angani alkuwa Mrusi [[Sergei Krikalyov]] aliyefika angani mara sita akakaa jumla ya siku 803, masaa 9 na dakika 39 kwenye anga-nje.
 
Baina 2001 hadi 2009 watu saba walifika kwenye anga-nje kama watalii yaani wageni waliolipa kwa nafasi ya kusafiri pamoja na wanaanga hadi Kituo cha Anga cha Kimataifa (ISS) walipokaa kwa wiki moja. Walilipa zaidi ya dolar milioni 20. Mmoja wao alikuwa Mark shuttleworth wa Afrika Kusini.
 
== Picha za wanaanga ==