Kaizari Macrinus : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d Kaisari Macrinus umehamishwa hapa Kaizari Macrinus: Maandishi rasmi kulingana na kamusi ya TUKI |
d roboti Nyongeza: zh:马克里努斯 |
||
Mstari 41: | Mstari 41: | ||
[[sv:Macrinus]] |
[[sv:Macrinus]] |
||
[[tr:Macrinus]] |
[[tr:Macrinus]] |
||
[[zh:马克里努斯]] |
Pitio la 18:21, 24 Januari 2008
Marcus Opellius Macrinus (takriban 165 – Juni 218) alikuwa Kaizari wa Dola la Roma kuanzia 11 Aprili, 217 hadi tarehe 8 Juni, 218. Alimfuata Caracalla. Kabla Macrinus hajafa, mpwa wa Caracalla, Elagabalus alitangazwa kuwa Kaizari tarehe 18 Mei. Alimshinda Macrinus katika pigano la vita tarehe 8 Juni, na Macrinus aliuawa kisheria baadaye kidogo.
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |