Troia : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 2: Mstari 2:
[[Image:Plan Troy-Hisarlik-en.svg|thumb|320px|Awamu za kukua kwa Troia kufuatana na utafiti wa akiolojia]]
[[Image:Plan Troy-Hisarlik-en.svg|thumb|320px|Awamu za kukua kwa Troia kufuatana na utafiti wa akiolojia]]
[[File:Homeric Greece-en.svg|thumb|320px|Ramani ya Ugiriki ya Kale zamani za Homer]]
[[File:Homeric Greece-en.svg|thumb|320px|Ramani ya Ugiriki ya Kale zamani za Homer]]
'''Troia''' (kwa [[Kigiriki]]: Τροία, ''troia'', pia Ίλιον, ''ilion''; kwa [[Kiingereza]]: ''Troy'')<ref>{{cite web|first=Charlton T.|last=Lewis|coauthors=Charles Short|title=Ilium|work=A Latin Dictionary|publisher=Tufts University: The Perseus Digital Library|url=http://www.perseus.tufts.edu/cgi-bin/ptext?layout.reflang=la;layout.refdoc=Perseus%3Atext%3A1999.04.0059;layout.reflookup=Ilium;layout.refcit=;doc=Perseus%3Atext%3A1999.04.0059%3Aentry%3D%2321459|accessdate=2008}}</ref> ulikuwa [[mji]] wa [[Asia Ndogo]] zamani za [[Ugiriki ya Kale]]. Inajulikana kutokana na [[Iliadi|utenzi wa Iliadi]] ambamo [[mshairi]] [[Homer]] alisimulia habari za [[Vita ya Troia]].<ref>{{cite book|first=Jenny|last=March|title=The Penguin Book of Classical Myths|date=2008|isbn=978-0-141-02077-8|publisher=Penguin Books|page=294}}</ref>
'''Troia''' (kwa [[Kigiriki]]: Τροία, ''troia'', pia: Ίλιον, ''ilion''; kwa [[Kiingereza]]: ''Troy'')<ref>{{cite web|first=Charlton T.|last=Lewis|coauthors=Charles Short|title=Ilium|work=A Latin Dictionary|publisher=Tufts University: The Perseus Digital Library|url=http://www.perseus.tufts.edu/cgi-bin/ptext?layout.reflang=la;layout.refdoc=Perseus%3Atext%3A1999.04.0059;layout.reflookup=Ilium;layout.refcit=;doc=Perseus%3Atext%3A1999.04.0059%3Aentry%3D%2321459|accessdate=2008}}</ref> ulikuwa [[mji]] wa [[Asia Ndogo]] zamani za [[Ugiriki ya Kale]]. Inajulikana kutokana na [[Iliadi|utenzi wa Iliadi]] ambamo [[mshairi]] [[Homer]] alisimulia habari za [[Vita vya Troia]].<ref>{{cite book|first=Jenny|last=March|title=The Penguin Book of Classical Myths|date=2008|isbn=978-0-141-02077-8|publisher=Penguin Books|page=294}}</ref>


Kwa [[karne]] nyingi mahali pa mji hapakujulikana ingawa watu wengi walijaribu kupakuta kwa sababu ya umaarufu wa utenzi huo uliokuwa na maana sana katika [[utamaduni]] wa [[Ulaya]]. Mnamo mwaka [[1868]] [[Mjerumani]] [[Heinrich Schliemann]] alianza kuchimba kwenye [[kilima]] cha [[Hisarlik]] kilichopo karibu na mji wa [[Çanakkale]] [[magharibi]] [[kaskazini]] mwa [[Uturuki]]. Alikuta mabaki ya [[Jengo|majengo]] na kuta kubwa na baada ya majadiliano marefu leo hii [[wataalamu]] hukubaliana hapa palikuwa mahali pa Troia ya Kale.
Kwa [[karne]] nyingi mahali pa mji hapakujulikana ingawa watu wengi walijaribu kupakuta kwa sababu ya umaarufu wa utenzi huo uliokuwa na maana sana katika [[utamaduni]] wa [[Ulaya]]. Mnamo mwaka [[1868]] [[Mjerumani]] [[Heinrich Schliemann]] alianza kuchimba kwenye [[kilima]] cha [[Hisarlik]] kilichopo karibu na mji wa [[Çanakkale]] [[magharibi]] [[kaskazini]] mwa [[Uturuki]]. Alikuta mabaki ya [[Jengo|majengo]] na kuta kubwa na baada ya majadiliano marefu leo hii [[wataalamu]] hukubaliana hapa palikuwa mahali pa Troia ya Kale.
Mstari 12: Mstari 12:
==Tanbihi==
==Tanbihi==
<references/>
<references/>
{{mbegu-jio-Uturuki}}

[[Jamii:Ugiriki ya Kale]]
[[Jamii:Ugiriki ya Kale]]
[[Jamii:Urithi wa Dunia]]
[[Jamii:Urithi wa Dunia]]
[[Jamii:Historia ya Uturuki]]

Pitio la 10:06, 29 Mei 2019

Kuta mashuhuri za Troia zilizotajwa mara nyingi katika utenzi wa Iliadi ya Homer
Awamu za kukua kwa Troia kufuatana na utafiti wa akiolojia
Ramani ya Ugiriki ya Kale zamani za Homer

Troia (kwa Kigiriki: Τροία, troia, pia: Ίλιον, ilion; kwa Kiingereza: Troy)[1] ulikuwa mji wa Asia Ndogo zamani za Ugiriki ya Kale. Inajulikana kutokana na utenzi wa Iliadi ambamo mshairi Homer alisimulia habari za Vita vya Troia.[2]

Kwa karne nyingi mahali pa mji hapakujulikana ingawa watu wengi walijaribu kupakuta kwa sababu ya umaarufu wa utenzi huo uliokuwa na maana sana katika utamaduni wa Ulaya. Mnamo mwaka 1868 Mjerumani Heinrich Schliemann alianza kuchimba kwenye kilima cha Hisarlik kilichopo karibu na mji wa Çanakkale magharibi kaskazini mwa Uturuki. Alikuta mabaki ya majengo na kuta kubwa na baada ya majadiliano marefu leo hii wataalamu hukubaliana hapa palikuwa mahali pa Troia ya Kale.

Maghofu ya Troia yamepokelewa katika orodha ya urithi wa dunia ya UNESCO. Azimio hili lilitolewa kwa maelezo yafuatayo:

"Mahali pa kiakiolojia pa Troia ni muhimu sana kwa kuelewa vyanzo vya maendeleo ya ustaarabu wa Ulaya. Pana pia umuhimu mkubwa wa kiutamaduni kutokana na athira kubwa ya Iliadi ya Homer juu ya sanaa kwa muda wa zaidi ya milenia mbili". [3]

Tanbihi

  1. Lewis, Charlton T.; Charles Short. Ilium. A Latin Dictionary. Tufts University: The Perseus Digital Library. Iliwekwa mnamo 2008.
  2. March, Jenny (2008). The Penguin Book of Classical Myths. Penguin Books. p. 294. ISBN 978-0-141-02077-8. 
  3. UNESCO citation
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Troia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.