Kiolwa cha angani : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d Protected "Kiolwa cha anga-nje" ([Kuhariri=Zuia watumiaji wapya au wale ambao hawajajisajilisha] (bila mwisho))
No edit summary
Mstari 21: Mstari 21:
|Mifano ya violwa vya angani
|Mifano ya violwa vya angani
|}
|}
'''Kiolwa cha anga-nje''' (pia: '''gimba la angani''', [[ing.]] ''[[:en:astronomical object|astronomical object]] au celestial body'') ni jina kwa ajili ya vitu vinayopatikana katika [[anga]] ya [[ulimwengu]].
'''Kiolwa cha anga-nje''' (pia: '''gimba la angani''', kwa [[Kiingereza]]: ''[[:en:astronomical object|astronomical object]] au celestial body'') ni [[jina]] la jumla kwa ajili ya [[Kitu|vitu]] vinayopatikana katika [[anga]] ya [[ulimwengu]].


Kati ya vitu hivi huhesabiwa:
Kati ya vitu hivyo huhesabiwa:
* [[Jua]]
* [[Jua]]
* [[Sayari]]
* [[Sayari]]
Mstari 36: Mstari 36:
* [[Wingu (anga la nje)|Mawingu katika anga]]
* [[Wingu (anga la nje)|Mawingu katika anga]]


Hivi vyote ni violwa asilia. Vitu kwenye anga-nje vilivyotengenezwa na binadamu ni [[vyombo vya anga-nje]]. Hapa kuna swali kama mabaki kutokana na vyombyo vya anga-nje vilivyovunjika au takataka kutokana na safari za anga-nje yanastahili kuitwa kwa neno hili.
Hivyo vyote ni violwa asilia. Vitu vilivyoko kwenye anga-nje vilivyotengenezwa na [[binadamu]] ni [[vyombo vya anga-nje]]. Hapa kuna swali kama mabaki kutokana na vyombo vya anga-nje vilivyovunjika au [[takataka]] zinazotokana na [[safari]] za anga-nje yanastahili kuitwa kwa [[neno]] hili.


Elimu ya violwa vya anga-nje ni [[astronomia]].
[[Elimu]] ya violwa vya anga-nje ni [[astronomia]].


{{mbegu-sayansi}}
{{mbegu-sayansi}}

Pitio la 14:09, 28 Mei 2019

Asteroid Ida with its own moonMimas, a natural satellite of Saturn
Planet Jupiter, a gas giant
The Sun, a G-type starStar Sirius A with white dwarf companion Sirius B
Black hole (artist's animation)Vela pulsar, a rotating neutron star
Globular star clusterPleiades, an open star cluster
The Whirlpool galaxyAbel 2744, Galaxy cluster
The Hubble Ultra-Deep Field 2014 image with an estimated 10,000 galaxiesMap of galaxy superclusters and filaments
Mifano ya violwa vya angani

Kiolwa cha anga-nje (pia: gimba la angani, kwa Kiingereza: astronomical object au celestial body) ni jina la jumla kwa ajili ya vitu vinayopatikana katika anga ya ulimwengu.

Kati ya vitu hivyo huhesabiwa:

Hivyo vyote ni violwa asilia. Vitu vilivyoko kwenye anga-nje vilivyotengenezwa na binadamu ni vyombo vya anga-nje. Hapa kuna swali kama mabaki kutokana na vyombo vya anga-nje vilivyovunjika au takataka zinazotokana na safari za anga-nje yanastahili kuitwa kwa neno hili.

Elimu ya violwa vya anga-nje ni astronomia.

Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiolwa cha angani kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Mradi wa Astronomia Makala hii imewahi kukaguliwa na kuboreshwa kwenye warsha ya pamoja ya Jenga Wikipedia ya Kiswahili, Wikimedia Community User Group Tanzania na ASSAT. Imepewa hali ya ulinzi. Tunaomba mapendekezo yote ya usahihisho na nyongeza zipelekwe kwanza kwenye ukurasa wa majadiliano