Kiolwa cha angani : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
No edit summary
d Protected "Kiolwa cha anga-nje" ([Kuhariri=Zuia watumiaji wapya au wale ambao hawajajisajilisha] (bila mwisho))
(Hakuna tofauti)

Pitio la 11:21, 28 Mei 2019

Asteroid Ida with its own moonMimas, a natural satellite of Saturn
Planet Jupiter, a gas giant
The Sun, a G-type starStar Sirius A with white dwarf companion Sirius B
Black hole (artist's animation)Vela pulsar, a rotating neutron star
Globular star clusterPleiades, an open star cluster
The Whirlpool galaxyAbel 2744, Galaxy cluster
The Hubble Ultra-Deep Field 2014 image with an estimated 10,000 galaxiesMap of galaxy superclusters and filaments
Mifano ya violwa vya angani

Kiolwa cha anga-nje (pia: gimba la angani, ing. astronomical object au celestial body) ni jina kwa ajili ya vitu vinayopatikana katika anga ya ulimwengu.

Kati ya vitu hivi huhesabiwa:

Hivi vyote ni violwa asilia. Vitu kwenye anga-nje vilivyotengenezwa na binadamu ni vyombo vya anga-nje. Hapa kuna swali kama mabaki kutokana na vyombyo vya anga-nje vilivyovunjika au takataka kutokana na safari za anga-nje yanastahili kuitwa kwa neno hili.

Elimu ya violwa vya anga-nje ni astronomia.

Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiolwa cha angani kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Mradi wa Astronomia Makala hii imewahi kukaguliwa na kuboreshwa kwenye warsha ya pamoja ya Jenga Wikipedia ya Kiswahili, Wikimedia Community User Group Tanzania na ASSAT. Imepewa hali ya ulinzi. Tunaomba mapendekezo yote ya usahihisho na nyongeza zipelekwe kwanza kwenye ukurasa wa majadiliano