Wanzilishaji wa akaunti, Warasimu, Watumiaji waliothibitishwa, Interface administrators, IP block exemptions, Wakabidhi
49,284
edits
No edit summary |
No edit summary |
||
[[Picha:
'''Bahari ya Barents''' (Kinorwei: Barentshavet; Kirusi: Баренцево море ''Barentsevo More'') ni [[Bahari ya pembeni|tawi]] la [[Bahari ya Aktiki]], na iko [[kaskazini]] kwa [[Urusi]], [[Norwei]] na [[funguvisiwa]] la [[Svalbard]] pamoja na [[Kisiwa cha Dubu]]. [[Novaya Zemlya|Visiwa vya Novaya Zemlya]] vinaitenganisha na [[Bahari ya Kara]].
Eneo lake ni la [[km²]] 1,424,000. Jina limetokana na baharia Mholanzi Willem Barentsz. ▼
Sehemu hii ya bahari haina kina kirefu, kwa wastani ni mita 230 pekee. Kiuchumi ni muhimu kwa uvuvi na uchumbaji wa [[Gesi asilia|gesi]] na [[mafuta ya petroli]].
Hata kama ni sehemu ya Bahari ya Aktiki, inaweza kupitiwa na meli karibu mwaka wote kwa sababu inapokea maji ya vuguvugu kutoka [[Mkondo wa Ghuba]] wa [[Bahari Atlantiki]] unaoishia hapa. Maji ya vuguvugu ni msingi kwa kuota kwa [[planktoni]] ambayo ni lishe kwa aina nyingi za samaki.
▲Eneo lake ni la [[km²]] 1,424,000.
{{mbegu-jio}}
[[Jamii:Bahari]]▼
[[Jamii:Aktiki]]
▲[[Jamii:Bahari ya pembeni]]
|